Recent content by jje's

  1. jje's

    JamiiForums Tanzania Watoto wa marehemu Captain Komba acheni kutia huruma, mnajiabisha sana kama familia

    Veggies hamnazo kabsaaa, naunga mkono na miguu hoja
  2. jje's

    JamiiForums Tanzania Challenge ya kusave pesa UTT

    anazingua kwa kweli, hahahha
  3. jje's

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wazoefu, Niendelee kurudi nyumbani kula chakula cha mchana au nianze kununua chakula ?

    Kwanza anatembea, kwa nini achafuke mavumbi wakati restaurant na hela zipo?
  4. jje's

    JamiiForums Tanzania Nilimtongoza mwanamke miaka 30 iliyopita, amenipa wiki 2 zilizopita

    jaman toa ushuhuda au na wewe hujui
  5. jje's

    JamiiForums Tanzania Nilimtongoza mwanamke miaka 30 iliyopita, amenipa wiki 2 zilizopita

    tumuulize Iceberg9 anajua haya mambo sana
  6. jje's

    JamiiForums Tanzania Nilimtongoza mwanamke miaka 30 iliyopita, amenipa wiki 2 zilizopita

    uko sahihi sana, nakukubali kwa maneno yako kabisaa ndo maana umenifanya nifurahi
  7. jje's

    JamiiForums Tanzania Nilimtongoza mwanamke miaka 30 iliyopita, amenipa wiki 2 zilizopita

    hahhahaha acha nicheke tu maana ulivyochambua, mtoa mada atakuwa anafurahia tu hii comments
  8. jje's

    JamiiForums Tanzania Nilimtongoza mwanamke miaka 30 iliyopita, amenipa wiki 2 zilizopita

    darling wa mie, umeamkaje kipenzi
  9. jje's

    JamiiForums Tanzania Nilimtongoza mwanamke miaka 30 iliyopita, amenipa wiki 2 zilizopita

    hakika na feelings zitakuwa pale pale
  10. jje's

    JamiiForums Tanzania Nilimtongoza mwanamke miaka 30 iliyopita, amenipa wiki 2 zilizopita

    kwa nini usiseme 15 +30? na hizo hesabu daah, basi huu uzi unanifurahisha tu kwa majibu ya wadau sijui kwa nini
  11. jje's

    JamiiForums Tanzania Nilimtongoza mwanamke miaka 30 iliyopita, amenipa wiki 2 zilizopita

    watu na vizungu vyenu, mnatukausha uzazi hahahahhaha
  12. jje's

    JamiiForums Tanzania Nimfanyaje huyu mwanamke ambaye anamshawishi mdogo wangu wa kike miaka 13 aolewe na kaka yake?

    hivi kuna watu wanafeli darasa la saba hadi sasa?
  13. jje's

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

    congrats, I always say kuwa amani ya moyo wako ina thamani kubwa sana.
  14. jje's

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

    haiwezekani kabsaaaa, na sasa naamini anajuta maana akili za watu bhana wanazijua wenyewe
Back
Top Bottom