Hao jamaa wana kipindi kimoja tu cha maana DODO...... kILICHOBAKI NI UJINGA UJINGA TU. Hebu angalieni jinsi Mwananchi Communication inavyo songa sasa wanauza magazeti hadi Kenya na muonekano wa magazeti umeanza kubadilika hii yote ni kutokana na TIDO MUHANDO! huyu jamaa ni Jembe tena 2015...
Iko wapi Intelejensia inayo ona vurugu za CDM kabla ya kufanyika kwa mikutano yao? Mbona tunafanyana wajinga jamani? Intelejensia ya nchi hii ni kwaajili ya CHADEMA tu? Hao FBI wanajua kiswahili au watakuwa wanarekodi na kuweka kwenye program za tafsiri??
Waache wakali bata Zenji ila ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.