Recent content by JJ FORMAR

  1. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi Yenye Funzo la Maisha: "SINA CHAGUO"

    JIONI YA JANA ILITAMATIKA SIMULIZI YA "SINA CHAGUO" Kwa wale mliokuwa waoga wa kusoma mikihofia haitokamilika, basi njooni muanze sasa.@Benoit Hongereni na ahsanteni sana kwa wote tuliokuwa pamoja kwa namna moja ama nyingine: hasa like, comments zenu. @Shamuse_bey, Matunzo 02, mhanuzi wangu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi Yenye Funzo la Maisha: "SINA CHAGUO"

    TULIPOISHIA Sikutishika na vitisho vyake, nilimwangalia kwa umakini kisha nikatabasamu baada ya kubaini kile nilichoshindwa kukibaini kwa wakati wote. Nikaichukua damu ile, nikainywa yote kwa mkupuo, kisha nikamuuliza kama kuna nyingine anipatie, “nimeipenda sana radha yake.” niliongea kwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi Yenye Funzo la Maisha: "SINA CHAGUO"

    Karibu sana Mkuu, naweka mwendelezo saa 7:45
  4. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi Yenye Funzo la Maisha: "SINA CHAGUO"

    TULIPOISHIA Nilitamani Salome na marafiki zangu watakapofika wanikute nikiwa naweza kutembea bila tatizo lolote. Mpaka dakika hii Pendo aliamini mimi na Salome tulikuwa wapenzi wa muda mrefu. Tulioshibana sana. ENDELEA (Kuna kizuri kibaya, Kuna kibaya kizuri.) Sikupumzika, nilifanya mazoezi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi Yenye Funzo la Maisha: "SINA CHAGUO"

    KUANZIA PALE NILIPOANDIKA, "NA HAPA NDIPO ULIPO MWANZO WA MWISHO." HAPA TULIPOFIKA NA HUKO TUNAKOELEKEA, UNAHITAJIKA UTULIVU MKUBWA WA AKILI, LA SIVYO NITAELEWEKA VIBAYA. TULIZA KICHWA UELEWE, SIJAANDIKA MATUSI MIMI!!!!!!!🤣🤣😂🤣😂.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi Yenye Funzo la Maisha: "SINA CHAGUO"

    TULIPOISHIA Kuanguka kwangu kulizalisha maumivu makali sehemu zote za mwili wangu, nikahisi kizunguzungu kikali kilichoambatana na surubu ya maumivu makali ya kichwa. Uoga ukaniingia, likanitoka yowe kali la hofu; nikilihofia giza nene nililoliona mbele yangu.... ENDELEA (Kuna kizuri kibaya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi Yenye Funzo la Maisha: "SINA CHAGUO"

    TULIPOISHIA Nilimkubali zaidi pale aliponihadithia namna gani alikabidhiwa jukumu la kuniuguza. Hadithi iliyobadilisha mtazamo wangu mbaya juu ya binti huyu. Sikumsumbua tena kwa chochote; nikaanza kumsikiliza na kutii kila alichonielekeza. Hadithi yake ilianza kwa ombi la msamaha, akaniomba...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi Yenye Funzo la Maisha: "SINA CHAGUO"

    ✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️ KIPANDE CHA LEO KIPO TOFAUTI KIDOGO, KINAHITAJI UTULIVU WA AKILI YAKO ILI UKIELEWE VIZURI. NA HAPA NDIPO ULIPO MWANZO WA MWISHO.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi Yenye Funzo la Maisha: "SINA CHAGUO"

    @ babukijana@Mnachihanguuu@Benoit
  10. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi Yenye Funzo la Maisha: "SINA CHAGUO"

    TULIPOISHIA Haikupita hata dakika moja, nikauona mlango ukifunguka. Aliingia Nesi wangu akiwa na tabasamu la haja usoni mwake; mikono yake aliiweka nyuma kwa namna ya kukificha kitu alichokishikilia. “Otea nimeshika nini, otea.” Ilikuwa kauli yake ya kwanza mala tu aliponifikia...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi Yenye Funzo la Maisha: "SINA CHAGUO"

    Pamoja sana mkuu.🤣🤣🤣🤣 Nipe dakika moja, Naweka mambo sawa.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi Yenye Funzo la Maisha: "SINA CHAGUO"

    Habari gani wadau!!!!!!!!!!!!!!!✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
  13. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi Yenye Funzo la Maisha: "SINA CHAGUO"

    Sawasawa mkubwa.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi Yenye Funzo la Maisha: "SINA CHAGUO"

    😂😂🤣😂😂😂🤣🤣 Fanya uanze leo maana hii ni uhakika. Naimaliza.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi Yenye Funzo la Maisha: "SINA CHAGUO"

    TULIPOISHIA. Mda huo nilikuwa nimeng’ata meno kwa nguvu, nikiugulia maumivu makali niliyoyapata baada ya kuchanwa ubavuni na chuma kizito kilichonidondokea. “Mhmm! Mhhmm! Mmhhm!” niliugulia maumivu makali yaliyosambaa mwili mzima. Nilianza kujihisi nguvu zikiniishia, nikashindwa hata kukwepa...
Back
Top Bottom