habari zenu wana jf
ndugu naombeni ushauri.Nataka niapply chuo intake ya September diploma ya pharmaceutical science nikitegemea kuajiliwa je ajila zake vp sabab sina pesa za kutosha kujiajil endapo nitakua nmemaliza je nikasome hvyo hivyo au nifanye issues zngne kwa pesa hii ambayo ningesomea?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.