Recent content by Jiwe_

  1. Jiwe_

    Azam tv sio burudani kwa wote ni burudani kwa waturuki. Mnaboa sasa

    Napataje holotel unlimited ya 50,000 mkuu?
  2. Jiwe_

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Imagine wateja wa mtandao mmoja kuna wanaonunua 1GB kwa 3,000tsh halafu kuna wanaonunua hiyo hiyo 1GB kwa 500tsh
  3. Jiwe_

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Uzuri wa hizo bundle ni economical ila ubaya wake hazina transparent kwakuwa mitandao ya simu bado inataka kudidimiza wateja wake, uhakisia wa namna mitandao ya simh ina-operate its scary ☹️
  4. Jiwe_

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Anaejua namna ha kupata/kuunga hiyo Unlimited ya Halotel reply hapa 🙏🏾
  5. Jiwe_

    Mufti athibitisha kuandama kwa mwezi Eid kesho, kesho April 10,2024

    Hii ni kote Bara na Visiwani 🤔 maana Bara hakuna taarifa yoyote mpaka sasa
  6. Jiwe_

    Tigo Mastercard 💳🤔

    Naplan kufungua account Equity Bank kama mdau alivyoshauri juu hapo🙏🏾
  7. Jiwe_

    Tigo Mastercard 💳🤔

    Ahsante ntajaribu Equity 🙏🏾
  8. Jiwe_

    Tigo Mastercard 💳🤔

    Nitajaribu voda pia, ahsante kwa pendekezo 🙏🏾
  9. Jiwe_

    Tigo Mastercard 💳🤔

    Unapendekeza bank gani ipo vizuri kwa online payment?
  10. Jiwe_

    Tigo Mastercard 💳🤔

    Ubaya ni kwamba Nipo mbali sana na tigo shop, nmetamani kungekuwa na option ya mbadala!
  11. Jiwe_

    Tigo Mastercard 💳🤔

    Wana JF, nimelipia Facebook Ads kwa kutumia Tigo Mastercard. Pesa zimetoka tigo pesa kwenda Mastercard sasa kwenye ads naonekana bado nadaiwa, nmewasilia na Tigo Huduma kwa Wateja wananiambia hilo ni tatizo la Mastercard niwapigie directly nmekuwa na walakini kwakua Tigo ndo wananiconnect na...
  12. Jiwe_

    𝗞𝗮𝗺𝗮 𝘂𝗻𝗮𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 𝗚𝗯 𝗡𝗶𝗻𝗮 𝘂𝗷𝘂𝗺𝗯𝗲 𝘄𝗮𝗸𝗼

    Na pia Freedom, ya ku-customize unajua ukiwa na uhuru wa kuweka App or Device unavyopendelea inaongeza quality ya experience yake kwenye matu Angalau iwe fun 😊
  13. Jiwe_

    𝗞𝗮𝗺𝗮 𝘂𝗻𝗮𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 𝗚𝗯 𝗡𝗶𝗻𝗮 𝘂𝗷𝘂𝗺𝗯𝗲 𝘄𝗮𝗸𝗼

    Na pia Freedom, ya ku-customize unajua ukiwa na uhuru wa kuweka App or Device unavyopendelea inaongeza quality ya experience yake kwenye matumizi
Back
Top Bottom