Recent content by JITUZEEE

  1. J

    Nape: Sijayapata matokeo ya Serikali za Mitaa ya Sumbawanga

    Ha ha ha ha Nnape yuko busy kufuga Tumbo anaelekea kumzidi KOMBA
  2. J

    Professor Jumanne Maghembe 'awanunua' wanavyuo kujiokoa kisiasa jimboni Mwanga

    Uprof wa Maghembe huwa unanipa shida sana hivi ni prof wa nn vile?
  3. J

    Barua ya Kinana kwa Mwigulu Nchemba ni faida na hasara kwa Chama

    Shonza happy new year! Hongera kwa kutambua fitna anazofanyiwa Mwigulu na kuweka msimamo wako wazi ila nazani kauli za Mwigulu kuwa katokea familia maskini kaanza kuonja machungu maana ndani ya CCM bila kuwa na genge LA wezi kukusuport kwa wakubwa auwezi kudumu kamwe.
  4. J

    Ushindi wa CHADEMA Ukonga waleta neema

    CCM wao wako busy kurudisha hela walizokuwa wanagawa kwa wapiga kura;Safi sana Waitara tumikia wananchi kwa vitendo.
  5. J

    Wapambe wa mitandaoni wanamchafua zaidi Mh. Edward Lowassa

    Uwezo wa Lowasa ktk nyanja zipi na Bungeni ni Bubu wakupindukia but big up sana ulichoandika ni wenye brain zao tu na wasioshikiwa akili zao wanaweza kukuelewa na kikuwa ni Watanzania kuelewa chama chetu CCM tumejaa wezi na mafisadi na mkitupa nchi hii tena ni mwendo wa kuligawana Taifa.
  6. J

    Mwigamba Achaniwa suruali kwa kudaiwa

    Acha uzushi ww huyo si mwanachama wake was ACT?au kisa katoka Kaskazini?dawa ya deni ni kulipa.
  7. J

    Nyumba ya Capt. John Komba iliyopo Dar es Salaam yapigwa Mnada

    Brain yote ya huyu mzee nasikia ni ngono tu labda hela anamalizia kwa vimada wa Corner Bar.
  8. J

    Wananchi wa Migombani DSM wamwapisha Mwenyekiti wao aliyeshinda kwa tiketi ya CHADEMA

    Duh!MACCM bila kutumia nguvu yanakupora ushindi ila itumike kama mbuni mpya ya kupambana na waminya demokrasia ccm ktk uchaguzi mkuu 2015.
  9. J

    Samwel Sitta na genge lake waanza kuwarubuni wajumbe wa BMK

    Hivi huyu mzee mbona kakosa hekima na busara? Mzee Sitta unazeeka vibaya kisa kuibeba ccm?
  10. J

    Sabodo: Upinzani Hauna 'Presidential Material' wa Kushika Madarakia ya Urais wa JMT

    Pasco...... Ni miongoni mwa moderators wa Jf mwenye kukipigia chapuo chama chake cha CCM,tambueni kwa wale mnaotegemea usili wa topic mnazoweka hapa kuvujishwa na mtu kama huyu. Pasco unaendelea kuifanya Jf kuwa sehemu ambayo siyo salama kabisa na mm ni miongoni mwa watu wenye hofu na ww....!
  11. J

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi 27 Septemba 2014, Michango ya Wabunge - Rasimu Inayopendekezwa

    Komba na tumbo lake ajielewi wacha aendelee kufuga mimb* tu.
  12. J

    Warioba na Tume yake wajiunga na Upinzani

    Warioba kawashika pabaya maccm mmezoea rushwa na ufisad.
  13. J

    Prof. Kitila Mkumbo: Edward Lowassa, Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa

    Prof Kitila Mkumbo?...... Huyu jamaa kweli ameanza kukengeuka yani LOWASA na uchafu wote eti leo awe rais wa Nchi hii??? Njaa mbaya aisee hela za wizi Watanzania wameamua kuzigawana maana ilikuwa Zitto sasa Mkumbo nae kaamua kuzichukua.
  14. J

    Msajili wa vyama vya Siasa Jaji F. Mutungi amzuia Mbowe kugombea uenyekiti tena

    CCM imeanza kuchagulia vyama vya upinzani viongozi dah!hii si ya kuvumilia kabisa aiseee.
Back
Top Bottom