Recent content by jitukumbuka

  1. J

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya kilimo 2014/2015 kweupee

    ivi nikienda kuombea chuon nitapata kweli?maana nimekuja jua juzi juzi tu wakubwa naomben ushauri
  2. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    nahitaji mwalimu idara ya sekondari wakubadilishana nae toka moro aje kisarawe mjini makaz pugu.piga 0657660585
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sitaki kuulizwa tena kuhusu kumtukana Mwalimu Nyerere

    kumradhi sometimes naona mh lissu kama mtoto anayejifunza kuongea kwan wana sifa ya kulopoka lolote lilokuja.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Zitto aitesa CHADEMA

    Watz wengi wanapenda vitu hata kama vibovu hata akijua stil ataendelea.may be type of foods it cnt activate the brain.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Zitto aitesa CHADEMA

    Kuna watu wanashabikia hata ujinga fanya uchunguzi ndio useme.swala la eskow mh zito alishazungumzia tena hata star tv
  6. J

    JamiiForums Tanzania Naibu meya wa Manispaa ya Ilemela Mwanza afukuzwa

    siriasly hakuna chama cha kumkomboa mtu mweusi.they are afta dey interest.fanya yako we dont need fek politics tumechoka
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kutoka bodi ya mikopo juu ya pesa za Field, wajibu malalamiko ya kuchelewa kwa Fedha hizo

    usiombee utumee pesa kimakosa online rgstrtion utazungushwa mpaka ukate tamaa.kiukwel kuna watu pale wapo kimakosa.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kutoka bodi ya mikopo juu ya pesa za Field, wajibu malalamiko ya kuchelewa kwa Fedha hizo

    Hakuna idara magumashi kama bod ya mikopo.pamoja na jengo la vioo zuri bt utendajikaz wao mashaka matupo
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini natamani siku moja Nape Mosses Nnauye aje kuwa rais wa Tanzania?

    usimzarau mtu kama wengine wanaweza kwnn yeye ashindwe!its just comittment
  10. J

    JamiiForums Tanzania Clouds TV na propaganda ya vita kisiasa

    tatizo vijana wabongo wapo busy mitandaoni instead kuwa busy kwa kazi zitakazowapa good future.achaneni na siasa.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Clouds TV na propaganda ya vita kisiasa

    Kila mtu ana haki ya kusema anachofikiri pasipo kuvunja sheria
Back
Top Bottom