Agizo la kuwaita wafanyabiashara hao limetolewa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda ambaye amewakaribisha kununua korosho na kuzibangua huku wakiendelea kuingia mikataba na wabanguaji wengine ili kupunguza mzigo wa korosho.
Kwa taarifa zaidi
Serikali yawaita mezani wanunuzi wa korosho
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema wapo baadhi ya watu ambao wanajipenyeza kupitia mgongo wa taasisi za dini nchini kujifanya wahubiri kumbe ni wachochezi na wanajiingiza katika masuala ya kisiasa.
Amesema Wizara yake ipo makini katika kusajili Makanisa na Misikiti yote...
All in all kama wao wanaona nchi haina demokrasia ,, je wao kuipangia serikali ifate wanachotaka wao ni demokrasia? lets think properly, i believe hizo mikwara walianza kitambo sana na wanajamba kwenye maji tu, although many of my fellow tz raia wameshalishwa ugoro wa kithungu saiv wanatapika tu...
intimidation! intimidation! intimidation! intimidation! intimidation! kila kitu intimidation! ulaya intimidation! marekani intimidation! tz intimidation! hata mleta uzi intimidation!
Sasa !ni sawa lakini siku zote ukitaka kumuua mbwa lazima umtafutie jina baya (mwizi,anakula vifaranga...
Dar es salaam: Viongozi 13 wa dini jana walisimama na kuuombea mradi wa umeme utakaozalishwa Mto Rufiji katika bonde la Stiegler ili upate mafanikio.Maombi hayo ya viongozi wa dini na madhehebu tofauti yalifanyika jana Ikulu jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kutia saini wa mkataba wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.