Recent content by Jita Boy

  1. J

    Lowassa: Siwezi mhukumu Kikwete, yeye mwenyewe ajihukumu. Magufuli anafanya vizuri baadhi ya maeneo

    Dah ungeaanza na masilahi ya walimu wakati watoto wetu hawa maskini wanakaa chini!! afu makatibu kata wana fedha gani za kutengeneza madawati?? Dah huyu ndiyo Lowasa safari ya matumaini
  2. J

    Usikose kuangalia Funguka Jumapili Azam Two:Edward Lowassa

    Wanachadema hatumtendei haki mjumbe wa kamati kuu kwa kumwita Waziri Mkuu Mstaafu yeye ni "Waziri Mkuu Aliyejiuzuru", itifaki izingatiwe plz
  3. J

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Nilichobaini ni kuona chama kikubwa kama CDM kutumia masheikh na maaskofu uchwara na kuacha kutumia viongozi wa wa dini wenye maadili katika madhehebu yao. Mathalani nilishangazwa pale sheikh alipotoa dua kwamba "wazibe mkojo" pia ","wapate kansa ya damu" kwa hakika huu ni udhalilishwaji wa...
  4. J

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Kamanda Mwigulu huu uzi wa chama CCM acha kabisa umetulia siyo yale magwanda ya mgambo ya Chadema unanikumbusha uzi aliyokuwa anavaa Samora Machel
  5. J

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Mh. Mwigulu uzi huu wa chama (gwanda) acha kabisa umetulia unanikumbusha vitu alivyokuwa anaweka Samora Machel, huu ndiyo uzi siyo yale magwanda ya mgambo wa katiakoo
  6. J

    Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Aisee toka kuwanunua bodaboda mpaka Tazara, yaani toka airport kwenda Mbeya mjini kwa treni, hayo sasa mambo ya bongo na treni ya Mwakyembe
  7. J

    Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Duh hii nyomi ni hatari ya bongo cha mtoto, ivi Mbeya ndiyo kwao na Mwakyembe ambaye na wenzake walizima kuchotwa mabillioni ya Richmond na huyu fisaidi na team yake ya kina Rostam mpaka kufikia hatua ya kutaka kumtoa roho kwa ajari ya gari na baada ya kushindwa jaribio hilo wakampa sumu na...
  8. J

    Nashindwa kuelewa akili ya Magufuli inafanyaje kazi

    Hawa wavaa shuka badala ya suruali mabarabarani hadi mahoteli ya kitalii dhambi ya ukabila itawatafuna tu na cku huyo wanayemtumainia akisema CHADEMA C BABA YANGU WALA MANA YANGU ndo watajua kuvaa suruali
  9. J

    Kauli ya Mwapachu Kuhusu Lowassa

    mwinukai Kwa kingereza hiki ni seeheeda. Ikumbukwe jamvi ni kwa ajili ya wanajamii tena wa kawaida sana sasa uzi kama huu wa kimombo ni kwa faida ya nani... tukienzi kiswahili kuelilmisha jamii
  10. J

    Vijana kwenye Maandamano ya kumsindikiza Lowassa walipora mali

    Kwa hakika sasa imenifumbua macho, kumbe ndo maana bodaboda walikusanywa pale Leaders na EDO na kuwaahidi kuwaundia ushirika ikiwa ni pamoja na kuwanunulia kila mmoja bodaboda yake lengo ikiwa ni kuwatumia ktk safari ya matumaini, ule usemi wa bb wa taifa wa "Muogope kama ukoma" unazidi kutimia...
  11. J

    Magufuli aagiza wanafunzi, wasafiri bure

    Kiongozi suala la gesi ya Mtwara hiyo sahau kabisaaaa gesi ni ya watz we kama mmakonde malaba tafuta pa kutokea vinginevyo utakung`utwa kisawasawa
  12. J

    Lema: Heshima kubwa kwa Mungu kumzomea Fisadi Lowassa

    Subirini BVR ya 2020 mtakaposikia toka kwa mh. ya kwamba CHADEMA SI MAMA YANGU WALA BABA YANGU gia ya angani ataweka namba 3 safari ya matumini huyo ACT kwa zzk ndo mtajua mbivu na mbichi maana matumaini hayana kikomo mwisho wake kuzimu
  13. J

    Nipashe la leo 11 Aug 2015

    Hii ni sheeeda mara clouds hawasomi magazeti fulani, mara magazeti ya uhuru, mara nipashe wamenyofoa kurasa
  14. J

    Maandamano (nyomi) ya kutisha yaliyowahi kutokea

    Pole sana kwa usumbufu kiongozi, jana tulikuwa tunapiga mafuta ya bure na mpunga maana fursa km hii mpaka 2025, idumu BVR....
  15. J

    Lowassa amgaragaza Magufuli kwenye "media coverage"

    Acha media zipige pesa kama bodaboda walivopiga mafuta ya kununuliwa jana, full tank, buguruni-nec-ufipa, coverage ya Magufuli iko wazi kwa watz.. mtu ukizoea kula nyama ya mtu katu utaacha
Back
Top Bottom