Ndugu wana JF.
Nnimekaa na kutafakali kuhusiana na hoja ya kuwa na Serikali tatu nimeona ni kama haiwezekani kwa sababu zifuatazo:-
1. Kuhudumia Serikali tatu itakuwa ni mzigo sana na haitaleta tija katika Taifa hususani katika kuhudumia Marais wastaafu,Mawaziri wakuu wastaafu na Makamu wa...
Mimi nashauli hivi:-
Rais wa Jamhuri wa Mungano awepo, Tanganyika na Zanzibar kuwe na Magavana au Proviency Gvnt kama ilivyo Marekani. Kuwa na Maraisi watatu dunia itatushangaa sana. Tuwe na magavana wawili tu yaani Tanganyika na Zanzibar ili kupunguza gharama vinginevyo itakuwa fujo na...
Ndugu Watanzania, nawashukuruni saana kwa kuniunga mkono katika hota yangu hapo juu, naomba tusife moyo Mungu yuko mbioni kuliinua Taifa, naomba sana tumuunge mkono Mhe. Rais wetu kwa jitihada kubwa anayoifanya katika kuleta mabadiliko makubwa katika nchi yetu, na yeye kama Rais wetu ameliona...
Nakushukuru saana mkuu kwa kuniunga mkono, hakika Watanzania tumekua waelewa sana. ipo siku Mungu atalibadilisha Taifa letu, naomba saana tusife moyo. Asanteni sana
Ndugu wana JF, Nimekaa na kutafakari kwa kina sana, nini chanzo cha mawaziri wetu kushindwa kuperfom vizuri katika wizara zao? Nimegundua kuwa kama nchi inapaswa kufanya mambo yafuatayo:- 1. Kuwa na State Policy ambayo inakuwa ni DIRA kuu ya kuendeshea serikali kupitia Baraza la Mawaziri. 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.