Recent content by jiongeze

  1. jiongeze

    Kama amenichoka aniambie niende kwetu

    Ndg kama mwanaume kalogwa hatosikia cha mama mzazi wala baba, kuna wezi wengine wanamloga mwanaume mpaka ndg zake kiasi kwamba hata ushtaki kwanza wewe ndio unaonekana mbaya na hakuna atakae kusikiliza. Cha kushangaza wengine wanaanza kuwa upande wa mchepuko wanachangia mpaka kukufukuza...
  2. jiongeze

    Kama amenichoka aniambie niende kwetu

    Dada pole sana, mwanaume anapoanza tabia ya kukuficha ficha mbele ya ndg marafiki n.k, anakuwa tayar ana mahusiano ya kudumu nje ya ndoa. Mwanaume mwenye michepuko ya kudumu hawezi kwenda na mke wake kwenye sherehe au mjumuiko wowote unaowatambulisha, hawez kukubal hata watoto wake wajulikane...
  3. jiongeze

    Huyu Binti nataka nimuoe, ila nimeona anadaiwa na HESLB Mil 17 na mwaka wake wa mwisho chuo Alidisco

    Dah bado hujashtuka tuu??? Wewe unakuwa wa maana kwake anapokuwa na shidaa ila zikiisha anatafuta anaowapenda!! Kwa kifupi hakupendi,hakupendi,hakupendi,hata kidogo. Nasisitiza hilo.... Huyo kaujua udhaifu wako na kagundua hapo ndio pakutatulia hayo matatizo yake ya bodi. Atakutesa sana kwa...
  4. jiongeze

    Ushauri: Ninapenda ngono kuliko kula, natamani wanawake wote wazuri niwamiliki, nina shida gani?

    Huyu mama kichaa ulietembea nae ukiwa mdogo alikuvika pepo la umalaya. Hicho ndicho chanzo cha maisha unayoishi. Kujua chanzo tayari ni ufumbuzi wa tatizo. Nakushauri nenda kwa watu wanaomwamini kristo mf mchungaji waeleze hiki ulichoandika,wakikupmbea kwa jina la Yesu utafunguliwa na vifungo hivyo
  5. jiongeze

    Mke afanye nini iwapo anataka kwenda mahali na mumewe lakini akakataa?

    Mwanaume/mwanamke ambae hapendi kutoka/kwenda mahali na mkwewe jua ni mtaalamu wa michepuko. Hivyo hapendi hiyo michepuko yake iijue njia kuu.kuna wengine hata mkienda kwenye sherehe hatak kabisa kuonekana na mke/mumewe,wengine anakupiga marufuku ofisini kwangu usije anasingizia sababu kibao...
  6. jiongeze

    Tuonjeshane kidogo machungu ya ndoa kwa waliofunga pingu

    Inauma zaidi pale mwenzako anapokuwa sio mwaminifu na anakulazimisha umwamini au uvumilie ushenzi wake. Wapo watu wanaoingia kwenye ndoa ili waonekane na wao wameoa lkn ndani ya mioyo yao hawako tayar hata kuongozana na wenza wao in public places. Wengine akitoka tuu home pete inafichwa mfukoni...
  7. jiongeze

    Ushauri: Nimepoteza hisia kwa mke wangu, simtaki tena

    Tatizo wewe unaangalia uzuri wa nje na sio tabia.hivi kwa mfano ukamwacha ukaoa mwanamke mzuri sana kama unavyosema kwamba hao ndio type yako,akapata ajali ikamharibu sura yote ikageukia kushoto,baadhi ya viungo vikapotea kutokana na ajali hutaona aibu ya kuongozana nae barabarani??? Tafakari...
  8. jiongeze

    Ndoa zimekuwa 'kaa la moto', wanaume hawashikiki tena

    Naomba waname mlio humu muwashauri wanaume wanaochepuka waache kuvuja siri na mipango yao ya familia kwa michepuko. Mwisho wa siku michepuko inapata mianya ya kuharibu ikiwezekana kuua kabisa ilimradi yenyewe ibaki kuwa njia kuu. Kama ikishindikana kumuogopa mke basi muogopeni mungu aliewapa...
  9. jiongeze

    Ndoa zimekuwa 'kaa la moto', wanaume hawashikiki tena

    Ndiyo ni lecture.inauma sujui hiyo michepuko inapata wapi namba zangu. Inanipigia kwa jeuri,"njoo uone tunakula maisha na mumeo, we lea watoto sisi tutamlea mumeo".mbaya zaidi ananitangazia ubaya kwa michepuko ili apate favour.mpaka mipango ya familia michepuko inajua. Saaaddd
  10. jiongeze

    Ndoa zimekuwa 'kaa la moto', wanaume hawashikiki tena

    Nimemgumania mara nyingi tuu tena na wanafuzi wake anaowafundisha chuo.jibu umepata
  11. jiongeze

    Ndoa zimekuwa 'kaa la moto', wanaume hawashikiki tena

    Inauma sana mtu kuchafuliwa kwa michepuko ili mradi tuu mtu ahurumiwe na mchepuko. Ohhh mke wangu mvivu,hanijali,hawapendi ndugu zangu,hatimizi wajibu wake kama mke, blaa blaa kibao ili mchepuko uingie line.we aren't angles.just human like yuo,
  12. jiongeze

    Ndoa zimekuwa 'kaa la moto', wanaume hawashikiki tena

    Sasa ni mwendo wa jino kwa jino.
Back
Top Bottom