Nimezungumza na hawa Wazee Wasomi na Maarufu ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nikitaka kujua nini hasa sababu ya Ukimya wao katika awamu hii ya tano.
"Mimi ni Msomi, napaswa kutumia usomi wangu kusimama katika ukweli, naridhika na jinsi Rais Magufuli anavyotekeleza...
Miradi iliyotekelezwa 2018/2019:
1. Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Standard gauge
2. Kufua Umeme wa Maji-Rufini- MW 2,115
3. Ununuzi wa NDEGE 3, Boeing 787-8 Dreamliner na Airbus A220-300 mbili.
4. Kusambaza Umeme Vijijini na Makao Makuu ya Wilaya
5. Miradi 1,659 ya Maji Mijini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.