Recent content by jino kwa jino

  1. jino kwa jino

    JamiiForums Tanzania Wapi Chasambi? Kocha Fadlu tuambie Chasambi amekukosea nini hadi humpi nafasi ya kucheza?

    Ila chasambi umetunyoosha
  2. jino kwa jino

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kocha Saed Ramovic aaga wachezaji rasmi

    Iliiuwa mipango tu tumu anapewa Msomali
  3. jino kwa jino

    JamiiForums Tanzania Basi la Klabu ya JKT Tanzania lapata ajali, Wachezaji 12 wapo chini ya Uangalizi

    Wanacheza lini na simba
  4. jino kwa jino

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi adaiwa kumuua mwenzake wakibishania umri

    Hiyo ni bangi au roho ya umauti ilikuwa karibu
  5. jino kwa jino

    JamiiForums Tanzania Sandaland waache kutengeneza Jezi

    Jamani ndio SANDA hapana Kwa kweli
  6. jino kwa jino

    JamiiForums Tanzania Ninachokiona kwenye jezi za Simba kama ni kweli, Yanga wapo level nyingine kabisa

    Hili neno naimani litaondolewa kabla msimu haujaanza Au kwenye oda ya pili watavbadili..... Ni ngumu sana kuvaa neno sanda kifuani
  7. jino kwa jino

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Hersi anawatamani sana watu waliopo Simba?

    Uzuri tangu Hersi awachukue hao viumbe simba anajishindia makombe tu....... Maana yake wanampa matunda na ataendelea kupiga kwenye mshino hivyo hivyo
  8. jino kwa jino

    JamiiForums Tanzania FT: Namungo 2 - 2 Simba | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.04.2024

    Mbona uzi hautembei nan muda unakaribia
  9. jino kwa jino

    JamiiForums Tanzania FT: Namungo 2 - 2 Simba | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.04.2024

    Mgunda hii game anashinda
  10. jino kwa jino

    JamiiForums Tanzania Tarehe 20 mapato ya Mechi kupungua sana sababu mashabiki wa SIMBA

    Waambie wasiogope match za watani huwa zinachezwa nje ya uwanja. Kwenye pitch ni 50% tu mengine wanamalizana huku nje
  11. jino kwa jino

    JamiiForums Tanzania FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

    Adhabu ilishaisha..... alikosa dhidi ya JKT na Police(FA)
  12. jino kwa jino

    JamiiForums Tanzania Dube ni mnafiki, alicheza chini ya kiwango kila akicheza na Yanga

    Ndio hiyo match aliyodaka shikalo na tangu siku hiyo yanga hajawahi fungwa tena na Azam Pia alifunga match ya mwisho Kwa penalt iliyoisha Azam 2 yanga 3(Aziz [emoji2785])
Back
Top Bottom