Recent content by JINI BALEKE

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Iundwe Kamati huru kubaini chanzo cha nyufa JNHP maana kuna harufu ya uhujumu uchumi

    Mhh inavyoonekana mwendazake alikuingizia mimba si Kwa kumchamba huko kama demu mwenye mimba ya miezi 6
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akataa mwananchi kueleza shida kwenye mkutano, amtaka amfikishie kupitia mbunge

    Acha kumpigia mwananchi ramli ,je kama KERO yake ni ukosefu wa mafuta???.Kama mwananchi ametega sikio kukusikiliza basi na yy analakwake msikilize
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mambo saba muhimu kuelekea maandamano ya kitaifa bila kikomo

    Ndiyo propaganda umetumwa kufifisha maandamano awamu hii tupo tayari kufa .tushakata tamaa lazima tuingie barabarani
  4. J

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tabora Mjini hali tete, mafuta hakuna! Maji hakuna

    Mama anaupiga mwingi
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya katiba kutoa ukomo wa raisi kuongoza miaka kumi tuu na kumpa nafasi Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan kugombea tena 2030

    Come on man. Katiba Bora sera Bora mipango Bora ya kitaasisi ndo huleta development evolution
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya katiba kutoa ukomo wa raisi kuongoza miaka kumi tuu na kumpa nafasi Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan kugombea tena 2030

    Ikitokea akaingia kiongozi ambaye hayuko upande wako ??? Je utaandika Hulu upuuzi hats Kwa Jpm chawa walisema haya
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari Tanzania na DP World ni Kaburi la CCM 2025

    Nyinyi ndo hutumika kueneza propaganda za kijinga kukatisha tamaa watu wasijitokeze ila nyie CCM ni wajinga kweii
  8. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Suluhu Hassan atashinda urais 2025 asubuhi na mapema

    Hoja si nani atakuwa rais hoja ni mkataba mbovu wa bandari
  9. J

    JamiiForums Tanzania TANZIA Francis Mtega, Mbunge wa Mbarali afariki dunia kwa ajali ya bodaboda

    Msitutoe kwenye reli kuhusu mkataba wa Bandari
  10. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Shivji: Mikataba ya Bandari na Dubai inayokuja itakuwa Siri na haitapelekwa Bungeni

    Nimemwelewa kweli ni mwalimu amenitoa tongotongo
  11. J

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo

    Kuna Rais alijenga km 17000 za lami Jk na hakukuwa na ukuda kama mnaouleta
  12. J

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa watu wa Bukoba unapimwa kwa kutumia vigezo gani?

    Kamwe bukoba haitakuja kutoboa kama wenyeji hawapendi kuruhusu mwingiliano na wageni as same to Moshi .Ukichunguza maeneo mengi ambapo kunamwingiliano mkubwa wa watu Kariba tofautitofauti yamepiga hatua KUBWA mifano hai ni Tunduma ,Dar,Mwanza Arusha, Kahama etc
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Mbowe na Lissu sasa ni vita rasmi

    Mbowe analidhiana katika Nini? Analidhiana na nani?? Rais Si mmiliki wa katiba Bali katiba ni Mali ya wananchi ndiyo maana Haina signature ya rais.unalidhiana vipi na mtu ambae Si mmiliki wa kile unacholidhiana wewe mbowe Hebu acha huo ukuda watanzania tuacheni huo ukuda tutokeni tuitake katiba...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kaliua - Kazaroho Wala Kiapo cha Kumlinda Rais Samia Mbele ya DC ChuaChua

    Kati ya mradi Bomu kuwahi tokea kaliua ni huu wa maji Kazaroho ndiyo maana mwenge wa uhuru wanezuia usipite kuufungua maana ungeenda na watu.umefunguliwa kimya kimya. Usalama wa taifa hili ni lenu fukueni mtanishukuru ingawa na nyie mtawaonea haya
  15. J

    JamiiForums Tanzania Jacob Boniface: Kura yangu ya Mwenyekiti nitampigia Mbowe na mimi nitagombea Ubunge Ubungo 2025!

    Ya ngoswe tumwachie ngoswe .Hata angesema atakuwa akimlamba lamba miguu ni hiari yake na shauri yake. Hoja kuu Kwa Watanganyika na watanzania ni katiba ya Warioba kwenye uchaguzi wa 2025
Back
Top Bottom