Recent content by Jinery

  1. J

    Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

    Maneno yakisemwa na mpuuzi,halafa mwenye akili timamu akayashabikia mtu yule hatofautiani na kumwona mwehu kavua nguo naye akavua kisa eti ushabiki! NINAJUA,MNAJUA Kuwa Nchemba ni naibu katibu mkuu si kwa sababu anajua siasa ila kwa sababu alitoa MATUSI MENGI 2011 Kule Igunga na 2012 kule...
  2. J

    Dr. Slaa ndani ya Mwenge Universiry College - Moshi tarehe 12.01.2013

    Tumieni siku hiyo ya Mapinduzi Ya Zanzibar kutafakari na Dr slaa kuwa Haki isipopatikana kwa Amani basi njia ya amani itakuwa imeshindwa kujibu ombi letu la haki na usawa.
  3. J

    Deni la Taifa: Kutoka trilioni 10.5 hadi trilioni 14.4 kwa mwaka?

    Ndugu watanzania wenzangu.Nchi yetu ina deni ambalo ni kikwazo kwa maendeleo ya taifa,deni lipo hivi, 1.Deni la nje(external debt) $10.5 billion ongeza riba ya 4.5% yaani $456.1million, octoba 2012. 2.Deni la ndani (internal debt) Tsh 5.1Trilioni ($3.2billion) october 2012 . 3.Deni...
Back
Top Bottom