Recent content by jina langu

  1. J

    Ushauri: Hili Jambo linanitesa Sana kisaikolojia sio kidogo

    Sasa najiuliza since 2017 kweli mpaka Leo sijawahi umwa hata kidogo, Ila yule dogo anao aisee hapa kichwa kinawaka moto
  2. J

    Ushauri: Hili Jambo linanitesa Sana kisaikolojia sio kidogo

    Hakunambia mkuu , nilijua after kuona damu ndo kunambia yupo kwenye siku zake
  3. J

    Ushauri: Hili Jambo linanitesa Sana kisaikolojia sio kidogo

    Nipo katika wakati mgumu Sana kisaikolojia sielewi yaani nifanyaje , Mwaka 2017 Kuna binti mmoja naona ndo chanzo Cha mm kuwa hivi nilivyo leo Huyu binti Kuna siku alikuja gethon bila hata kumuita akajiweka katika mazingira fulani hivi mpaka nikashawishika kufanya naye mapenzi Tena bila hata...
  4. J

    Je, kwa ufaulu huu anaweza kusoma CPA ya uhasibu?

    Ahsante mkuu maana nimeona sehemu sijui inabidi uwe na credit tatu na anko hapo anazo mbili tu, vipi kuhusu mihula yao Yani kumaliza course moja kwenda nyingine interval yake ikoje?
  5. J

    Je, kwa ufaulu huu anaweza kusoma CPA ya uhasibu?

    Shukrani ndugu unaweza Nipa mwanga kidogo kuwa application zinafanyikia wapi
  6. J

    Je, kwa ufaulu huu anaweza kusoma CPA ya uhasibu?

    Habari wakuu kwa matokeo haya English D Kiswahili D Civics F Biology D geography C B.math C History D Four ya 27 Hayo matokeo ni ya 2012 ,Sasa nataka kujua Kama ataweza kusoma CPA na aanzie wapi na itamchukua muda gani kumaliza na vipi kuhusu ada Pia Kama Kuna vyuo vinavyotoa hio course...
  7. J

    Walimu tulioajiriwa mwezi uliopita tumetelekezwa vituoni

    Mimi ni mtu Mzima mkuu so unavofikisha ujumbe wako jitahidi kutafuta lugha nzuri ya kumwambia mtu
  8. J

    Walimu tulioajiriwa mwezi uliopita tumetelekezwa vituoni

    Hawapo saivi Kuna kipindi nilimuomba lakini alinipa 10000 tu
  9. J

    Walimu tulioajiriwa mwezi uliopita tumetelekezwa vituoni

    Tulia kwanza dogo ,au umefikiri kila kitu kinahitaji porojo eti , assume ndo ww hujala 2 days afu unataka mtu awe patient for what ko mtu afe njaa kisa kapata ajira ya kudumu ,
  10. J

    Walimu tulioajiriwa mwezi uliopita tumetelekezwa vituoni

    Ko bando la halotel la jero usipolinunua hio jero ndo itakuwa pesa ya kujikimu Ww unaweza ishi kwa jero
  11. J

    Walimu tulioajiriwa mwezi uliopita tumetelekezwa vituoni

    Jiangalie unaweza kufanya uko smart lakini kumbe wewe ni zero tu, ajira zimetoka mmpewa only 2 weeks muwe mmeriport, unajua nauli kutoka songea to kagera ni Bei gani , unajua nimetumia sh ngapi kukamilisha utaratibu wote pale halmashauri, baada ya hapo ilitakiwa wenyeji wanipe ushirikiano lakini...
Back
Top Bottom