Recent content by Jimytz

  1. Jimytz

    Je, ni kitu gani ulishawahi jutia kukifanya katika maisha yako ya mapenzi?

    Nilifukizia dem wa chuo kwa miaka miwili, kipindi hicho mimi nipo kitaa nilivyompata nilidate nae kwa wiki moja kisha nikambwaga
  2. Jimytz

    Wizara ya Ardhi haitaki kuwalipa wataalamu wake?

    Umenena vema mkuu_kuna kila sababu wizara ya ardhi chini ya Serikali Tukufu ilitafakari hili na kutenda utu kwa vijana 👋
  3. Jimytz

    SoC01 Mkulima wa Jembe la Mkono Tanzania

    sisi watoto wa masikini
  4. Jimytz

    SoC01 Mkulima wa Jembe la Mkono Tanzania

    Sisi watoto wa masikini
  5. Jimytz

    SoC01 Mkulima wa Jembe la Mkono Tanzania

    TEGEMEO LA MKULIMA WA JEMBE LA MKONO Ni zama hizi hizi za karne ya 21 ambayo bado mkulima anatumia jembe la mkono katika kipande cha ardhi alichobakisha baada ya unyanganyi wa mabavu wa wawekezaji wakipewa nguvu na viongozi hawahawa tulio waamini na kuyaamini maneno yao, Tuachane na hayo maana...
Back
Top Bottom