Kuwa mpole aseee ....mambo mazuri hayataki haraka ,ndo umegundua Sasa hivi kuwa umri unaenda ? Hatua ya urafiki huwa hairukwi hata mkioana kesho haimaanishi kuwa hiyo hatua imerukwa ....kumbuka kipindi Cha urafiki kinajumuisha mambo mengi ikiwemo kujuana kwa undani kwenye mambo / vitu vingi...
Dini ilileta vip ahueni wakati Hadi leo mkristu hawezi kuolewa na muislam ,watu wanajitoa mhanga wakijipa moyo kuua makhafir (ambao si wa dini yao ) unahesabiwa haki ,... Bado mkristu na muislam hawaezi kushirikiana kwenye mambo mengi kwa sababu ya tofauti zao ,mmoja anaona ndio Ana haki na pepo...
Kabla ya dini dunia ilikuwa salama kuliko tulivyo Sasa .....dini zimeleta chuki ,watu wanatengana na kuishi bila upendo Kama si wa dini moja n.k
Imagine Africa ingekuwa inaishi kila jamii kwa tamaduni zake as it used to be kabla ya dini kutia nanga
Mwanga ulikuja Baada ya kuumbwa jua ,mwezi na nyota ....kabla ya hapo ilikuwepo nuru (according to biblia)
Swali: walijuaje siku imeisha na ku count kuwa Ni siku ya kwanza ama ya pili kwa uwepo wa nuru na Giza pekee kabla jua halijaumbwa ?
Maana tunajua baada ya jua kuwepo ilikuwa rahisi...
Ndio mnapokimbiliaga hapa
Story ya adamu na Eva Kuna manabii wanasema Lile tunda lilikuwa Ni tendo la ngono na wanaendelea kusisitiza Hadi Leo mungu hapendi Hilo tendo maana ni kujitia unajis hata ukifanya na mume ama mkeo (na Kuna namna ya kujitakasa ili uwe msafi according to Bible )
Kuna...
Kabla dini haijaingia Africa mababu zetu walikuwa wanaongozwa na Nini na kukiishi ?
Hatuhitaji biblia Wala Quran kutuongoza kuishi ...
Mtoto anapozaliwa na mama kumuwekea nyonyo anyonye kile kitendo Cha kufyonza maziwa Yale hafundishwi na yeyote
It's all about nature
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.