Recent content by jimmy jeoff

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kumuamini Askofu Gwajima ni kutopevuka kisiasa na kuuzwa kirahisi katika propaganda

    What matters mostly ni ajenda aliyoi advance Gwajima kwenye jamii. Umaarufu wa Gwajima umepanda sana na actually amepunguza maadui wengi wa kisiasa, kiimani na kijamii aliyokuwa nao kabla. 1:Hoja yake ya watu kutekwa, kuuliwa na kuteswa kinyama ni jambo linalotokea. Tujadili hoja yake bila...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Boniface Mwangi unadhihirisha Tanzania haifuati utawala wa sheria

    Nilisikiliza na kuona hiyo press ya Boni mwangi na Agather, ni ya aibu san kwa nchi na itaibua hasira kali kwa wakenya. Hivi picha ya wakenya kwa Samia itakuwaje siku samia akienda kenya kwa vikao vya jumuia ya Afrika mashariki cku wakikutana kenya. Juzi Rais wao kapigwa kiatu adhalani...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Uanasheria na Uanahabari wa Pasco Mayalla hauna faida yoyote kwa jamii; ni wa kuganga njaa tu

    Ni wa ovyo kabisa. Gwajima anasimamia hoja, huyo yuko anandik upuuz. Wenye akili zao upuuza ujinga wak kitambo. Ametafuta uteuz kwa staili za mapambio kwa watawala tang enz za Jpm mpk mama hakuna. Sas pasco kazeeka san na njaa zake. Pole yake!!
  4. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna uwezekano Askofu Gwajima anamchafua Rais Samia kuelekea Uchaguzi na akitumika na wale watu waliotaka asiwe Rais

    Acha ujinga wa nadhalia. Hoja ya Gwajima ni utekaji na kuuwa wakosoaji wasio na hatia. Swali je kuna UTEKAJI NA MAUAJI. Mjibu Askofu Gwajima ktk ilo. Wew unafurahishwa na utekaji na mauaji. Ukitekwa utajisikiaje. Gwajima did well his part as a citizen of Tz. Wew lako kemeo liko wap au uchwala...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hivi mbunge wa Kinondoni yuko sawa kichwani kweli? Mtoto wa Rais ndiyo nani kwenye nchi? Wazazi wa watoto wengine wao hawana uchungu?

    Tarimba haufai kuwakilisha watu. Haujajibu hoja ya kutekwa watu unapalamia hoja za ovyo. Gwajima alitoa mfano mpk mwanae Jordan iweje ujipe uchawa kwa raisi, wew bora mwachie jimbo Azan umeshindwa kila kitu kachezrshe kamali zako ndo saiz yako
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kesi za Lissu: Kukatika kwa Mtandao na Kuzuiliwa kwa Watu kusikiliza Shauri ni uthibitisho wa Shauri hili Kuendeshwa kwa Mabavu kinyume na Haki

    Bibi anapotoshwa na washauri wake. Heshima aliyojijengea kimataifa kaaribu kwa ku mishandle issue ya Lisu
  7. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Kama leo huna dola unawaza kufukuza watu wenye mawazo mbadala ndani ya chama, siku ukipewa dola itakuwaje?

    Mrema njaa inamsumbua sana tangu Mbowe aondolewe ni kama amechanganyikiwa. Hana kaz ya kufanya xax mwenye kibarua amuunganishe. Hakuzoea
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Bandari (TPA) yatoa ufafanuzi kuhusu hali ya ajira za Watumishi wa Bandari ya Dar es Salaam

    Hivi kubinafsisha bandari gati 0-7 ambazo ndo zinaongoza kuingiza hela kwa miaka 30 si ni biashara kichaa. 1: TPA juzi kati ilisema imeingiza bil 286 kwa mwak mmoja tu. 2: DPW imenunua kwa dolar 500 tu sawa na Til 1.2 3: Kama TPA iliingiza bil 286 kwa mwaka mmoja, basi inaitaji miaka 5 tu...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Ninao ushahidi wa watu waliotapeliwa Magari na Godbless Lema

    Achen ujinga, mambo ya ndani ya familia ya mtu kuihoji ni utoto na ujinga. Leo kuna watu wanaishi Dodoma kikaz na familia zao zinaishi Dar, hii inatofauti gan na issue ya Lema. Acha kujadili personalities jadili issues. Gambo unasumbuliwa na ugonjwa wa kisiasa (election fever) Anayo matatizo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030!

    Nasikitika kusoma huu upuuzi wa mtu aliyeonja shule japo kwa shahada moja. Eti opposition waache uchaguzi, wajaribu 2030. What a rubbish advice. Any registered political party lazima; 1: Ishiriki uchaguzi. Lengo ni kujipima kisiasa dhidi ya vyama vingine. Uungwaji mkono, kuuza sera, itikadi na...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Ikulu ya Dodoma mpaka wageni wapokelewe Ikulu Dar es Salaam?

    NADHANI SABABU NI 1: Hakuna uwanja wa ndege mkubwa wa kutua ndege kubwa ambazo ni za Maraisi wageni. Kwa sabab za usalama hauwez kumbadilishia za kwetu zimpeleke Dodoma. 2: Pia swala la Hotel za nyota 5. Raisi wa nchi kama Poland wenye uchumi mkubwa wa 21 duniani Dodom unamlaza wapi. Hotel...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ngwasi ajigeuza chawa, hajui majukumu yake, viti maalum sasa vifutwe

    Anatafuta uteuzi wa naibu waziri kwa nguvu zote. Angetafuta wachumi waampe darasa kwanza juu ya ili kisha akalopoke huko alipo. Ningekuwa na mda ningempa takwimu kubadili kwa nomination moja tu, inaghalimu taifa shs ngp? Mzabuni aliyeshinda kutuchapishia sarafu ( currency) yetu ni Ujerumani...
  13. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi vile vyama 13 vya upinzani, vilivyoamua kuungana na CCM, kuwapinga Chadema, wanajisikiaje hivi sasa baada ya kuona maandamano hayo yamefanikiwa?

    Tuliza akili mkuu, kufanyika ni tukio ( event) kufanyikiwa ( success) na kukamilisha lengo. Chadema walifanikiwa sababu wakifikisha ujumbe UN. Bahati mbaya haujui UN inafanyaje kazi. Ina jumuia zaidi ya 12 chini yake zonazofanya evaluation kwa kila nchi mwanachama wa UN. Taarifa zake zinatumika...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Israel anapata wapi hiki kiburi? Ameweka rekodi ya kuuwa wafanyakazi wengi zaidi wa UN na waandishi

    Magaidi watafutwe mpk wapatikane. Palestina inakubali magaidi wajifiche kweny makazi ya watu ili wazalishe uharamia wao. Acha wagigwe wakome. Kwanin waliwavizia waisrael na kuwaua. Uchokoze nyuki wakuume alaf ulalamikie mzinga eti funga wasije. Nachukia magaidi HAMAS. Na ngwe hii wameteketezwa...
Back
Top Bottom