Perfect decision. Inatakilwa ifike wakati Taaluma za watu zieshimiwe. Yeye akiwa kama engineer hakuna mtu anaeweza kumpangia namna ya kufanya shughuli yake au mahali ambapo anawezaa kuifanya. Katika mtazamo wa mtanzania wa kawaida sisi tunahitaji madaktari zaidi kuliko Kenya. kwenye majukwaa ya...
Kiujumla mchezo wote ni siasa. Kwa hali ilivyo sasa ni kwamba hakuna ushahidi wowote uliopatikana kumhusisha Manji na Sakata la madawa ya kulevya. Baada ya mpango huo kushindikana na sasa wanamtafuta kwa namna nyingine ikiwemo issue ya uhamiaji.
Kulingana na maelezo ya uhamiaji, wao walienda...
Kusema kweli hili swala linagusa wengi. Kuna watu wanaharibiwa reputation zao for mere words and rumors. Lets assume kuna uchunguzi ulifanyika juu ya swala hili, vyombo vya dola vingechukua hatua bila kufumba macho. Sasa pale siasa inapoingia kwenye mambo nyeti kama haya inakua ni shida tupu...
Inaweza kua ni ushamba kwa mtazamo wa mtu. Mimi nimebahatika kufanya shughuli zinazo husiaana na Applications. Trust me, kuna watu hawajui kabisa. Kuweka neno app Kunarahisisha mambo mengi ikiwemo mauzo.
Neno App likitamkwa moja kwa moja kwa mtu ambae hajawahi kusikia uwepo wa kitu hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.