Recent content by Jimido

  1. Jimido

    Naomba kufahamu gharama za kujenga hii nyumba

    WEKA floor plan yenye Vipimo upewe msaada lakini kujenga kwa nadharia sidhani kama ni sahihi
  2. Jimido

    Naomba ushauri kuhusu ubora wa mabati

    Kuhusu kupauka tuwasubiri wataalamu.
  3. Jimido

    Naomba ushauri kuhusu ubora wa mabati

    Kagua material kama yametengenezwa kwa mchanganyiko WA ALLUMINIUM NA ZINC HII POINT ITAKUSAUDIA BATI ZAKO KUTOPATA KUTU MAPEMA
  4. Jimido

    Kipi ni sahihi? Kuanza na plasta ndio uweke frame za milango au uanze kuweka frame then plasta?

    WEKA fremu kwanza kama zipo ili ukipiga plaster usigongegonge Kuta tena na utapunguza mipasuko kwenye plaster yako kama hauna fremu piga plaster then ukipata fremu utaweka
  5. Jimido

    Tuseme tu ukweli, ujenzi unahitaji kujinyima sana

    Ujenzi unahitaji usimamizi was halo ya juu,mafundi walijenga ukuta viziri kwenye kufunga mbao za linta tofali zitaingia kwa ndani badala ya kurekebisha hizo kozi kwa kuzijenga viziri Cha ajabu walimwaga linta hi yohivyo,marekebisho kwa baadae yanakuwa makubwa
  6. Jimido

    Computer and google map experts

    Kwahiyo wataalam nifanyeje?
  7. Jimido

    Computer and google map experts

    Kuna mtu nimempipia simu ikapokelewa lakin hakuongea nikakata simu,baada ya kukata simu ikaingia text inayoonesha. Connected,A,EXPW:ON,[URL="http://maps.google.com/maps?q=-3.379723,36.669060&t=m Nikahisi kuna mtu ametumia google map kufanya tracking ni njia ipi atakayoitumia...
  8. Jimido

    Naomba kujuzwa napoweza kupakua Phone firmwares moja kwa moja

    Habari wataalamu wa jf , kuna site ninazoweza kuzitumia ku download firmwares za simu zote zikiwa kwenye mafaili at once bila kudownload firmware moja moja. kama site hizo zipo naomba msaada Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Jimido

    Nisaidieni Desktop yangu ina tatizo

    Tatizo litaisha ukishindwa au kufanikiwa pia tupe mrejesho Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Jimido

    Nisaidieni Desktop yangu ina tatizo

    Unadriver pack solution yoyote?kama huna tumia modem uunge internet kisha Google online driver pack solution then utainstall driver zote Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Jimido

    Watalaamu wa Adobephotoshop

    Ok Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Jimido

    Watalaamu wa Adobephotoshop

    Kama upo OK weka contact tuwasiliane namna ya kukuunga na hilo deal Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Jimido

    Watalaamu wa Adobephotoshop

    Kuna MTU anahitaji kufundishwa adobe Photoshop & ms publisher yupo eneo tajwa hapo juu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom