Recent content by Jimbo

  1. Jimbo

    Rais wa TFF na siasa ni kitu kimoja

    TFF NI SAWA NA BAKWATA TU, KWANI NI TAWI LA CCM [emoji11][emoji11][emoji11][emoji11]
  2. Jimbo

    CAG: Ofisi yangu ina upungufu mkubwa wa fedha

    Sisi wengine huyu hatukumpigia kura tulijua haya mapemaaa......
  3. Jimbo

    Taarifa ya Serikali kuhusu kuadimika kwa bidhaa ya mafuta ya kula

    Huyu msanii simwamini hata kidogo!
  4. Jimbo

    Taarifa ya Serikali kuhusu kuadimika kwa bidhaa ya mafuta ya kula

    Tatizo watz hawafuatilii hotuba za Rais, kwani siku rais anaongea na Wafanyabiashara ikulu dar ersalaam alisema mafuta ghafi yapandishwe kodi ili kulinda viwanda vya ndani Bila ya kupata ushauri kutoka kwa wataalam wa wizara!
  5. Jimbo

    Gazeti la Afrika Kusini lamchambua Magufuli: Kutoka kiongozi mwenye maono hadi dikteta

    Rais bora ni mwenye kujenga uchumi imara na kuheshimu katiba.
  6. Jimbo

    Kodi ya Mafuta Ghafi: Mo Dewji afunga kiwanda, MeTL yapunguza wafanyakazi

    Tatizo mnaropoka tu bila kujua kinacho endelea na wananchi ndio waathirika, siku rais anaongea na Wafanyabiashara alisema ili kulinda soko la mafuta ya alizeti, ni vema tukapandisha kodi ya mafuta ya kula yanayotoka nje yaani groud oil, sasa hiki ndicho kinacho tokea na wananchi wataisoma namba.
  7. Jimbo

    Serikali yasaka fedha benki ya Afrika kufadhili mradi wa Stiegler's

    Si walisema hela wanazo? Kupitia rais mwenyewe na lukuvi bungeni! Mpaka zitto kawapasha kuwa hamna hela hizo!
  8. Jimbo

    Serikali yatenga mamilioni ya fedha kukamilisha miradi mikubwa ya maendeleo Nchini

    Hiyo ni kiduchukiduchu sio fedha ya kwenda kukamilisha wewe acha siasa kawaeleze mibwege isio jua mambo yanavyokwenda serekalini!
  9. Jimbo

    Hivi ndivyo Freeman Mbowe na genge lake anavyotafuna pesa za CHADEMA!

    Ccm imekomba bilion 337. 4 za mifuko ya hifadhi ya jamii ripoti ya CAG 2016 - 17 sasa hapo nani jambazi zaidi?
  10. Jimbo

    Kafulila: CAG amekwepa jukumu lake kwa kushindwa kuweka msingi wa zilipo sh 1.5 trilioni

    Sasa CAG kama hajapewa maelezo alazimishi? Kafulila mpuuzi na hao clouds walimpigia na zitto? Ili kubalance story?
  11. Jimbo

    David Kafulila apangua hoja zote za Zitto Kabwe kuhusu ripoti ya CAG

    Inamaana kabla ya kafulila haikuwa na mtu wa kujibu vitu kama hivi? Ccm wamelamba dume mtu kama kafulila walau wamejipambanua kwa kiasi fulani japo mengine ni kutetea kaugali kakusubiria.
  12. Jimbo

    Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta...

    Kupanga ni kuchagua, maendeleo endelevu ni mchakato na sio kukurupuka, nunua hiki, fanya hiki sio Safi!
  13. Jimbo

    Nimeamini CHADEMA ni chama cha kiungwana

    Na bado hiyo trela tu.
Back
Top Bottom