Recent content by jikuTech

  1. jikuTech

    Kama Hesabu rahisi (Fedha,idadi,muda) za kila siku zina eleweka , Basi hii Hapa ni Mbinu rahisi ya kuelewa Programming Kupitia Websites na Mobile App

    Programming tafsiri rahisi ni kutengeneza programu ,kwamba baada ya kufanya programming ndio inapatikana programu ya kompyuta, undani wa kujua programming ni kufahamu sayansi ya kompyuta. LAI : Maelezo haya ni ya kiswahili lakini kwa neno ambalo hauja lielewa kabla ya kuendelea chukua muda...
  2. jikuTech

    Mindset kabla ya kujifunza Tehama ya programming

    Nikufanya mawasiliano, Utajifunza kitu kulingana na current experience kwenye Tehama,,, yaani utapata ugumu kujifunza jambo B kabla ya Akujifunza
  3. jikuTech

    TEHAMA | Angalia Hoja Hizi Kisha Toa Maoni

    Jacob Mfadhili Sio kama sifahamu iyo C , lakini chai ya mtoto(mpya) haiwezi kuwa ya moto kama mkubwa (expert)kaka ,, Mimi nakuelewa unapo mwambia mtu ajifunze low level ama assembly ama C, mueleze pia gharama za matumizi yake, mtu Hana hata uwezo wa kununua PC mfano, alafu ajifunze C kuna muda...
  4. jikuTech

    Mindset kabla ya kujifunza Tehama ya programming

    Watu wengi huchukizwa na ratiba za kushtukiza, hutaka kuandaliwa ili wajiandae kuhusu tukio lenyewe.(Mindset) Nafikili na wewe ni miongoni hupendi mtu akuambie latiba ambayo haukuwa nayo kabla, Ghafla tu. TEHAMA ya programming unaweza kujifunza kwa njia nyingi ila labda mbili hizi maarufu...
  5. jikuTech

    [Siri yingi] Nauza kitabu Cha Henoko Cha kiswahili (bibilia hakipo) Bei 5000

    Ndio, technology Gap, kiufup nikwambie hivyo mengine huwezi kunielewa kabisa,
  6. jikuTech

    [Siri yingi] Nauza kitabu Cha Henoko Cha kiswahili (bibilia hakipo) Bei 5000

    Sasa ni swali la kujibiwa hilo??, vya kwenye bibilia walivitoa wapi, yaani mnachambuliwa maarifa ya kupewa Alafu mnashangilia, Ulemavu huo vipo vingi, mbona vya Siri hata musa sio 5 vipo 6 Hadi 7, kuna vingine vya Solomon vingi tu, hata bibilia Kila baada ya muda wanaondoa vitu vya kufumbua...
  7. jikuTech

    Natafsiri vitabu kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 Tsh kitabu kimoja

    Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣, nime elewa, kwahiyo huyu ASI tafsri??? , Mimi maarifa mengi nimepata kwenye vitabu vya lugha ya kigeni, ndio maana naunga mkono hoja yake, sio wote wanaweza elewa computer science kwa kiingereza na wakawa kama Mimi hapa, ila wapo wanae taka kujua zaidi ya hata Elon musk...
  8. jikuTech

    Natafsiri vitabu kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 Tsh kitabu kimoja

    Kwahiyo, ni wajinga??? Sawa ila Mimi siamini hivyo. Wajinga wapo ila sio wote, Kuna lugha , kuelewa na kuelewa Hadi kufanya imagination, lugha mama ni lahisi kuelewa kwa picha tofauti na lugha za kigeni, au labda nawaza tofauti
  9. jikuTech

    Natafsiri vitabu kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 Tsh kitabu kimoja

    Hapana, sio kwa ubaya, ila mawazo kama yako ndio mpaka Leo watu wamefaulu Physics vizuri kwa kiingereza lakini, hawawezi hata kutengeneza simple logical processor, ila wenye lugha zao wanafanya hivyo, kama umewahi ona makabila ambayo yanaskia kiswahili lakini ili waelewe lazima uongee lugha yao
  10. jikuTech

    Natafsiri vitabu kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 Tsh kitabu kimoja

    Tanzania yetu, Wengine wanajua kusoma na kuandika tu, Kiswahili hapo inakuwaje sasa, Kwa sababu wewe unaweza ndio wote wanaweza?? Huu ni unyanyasaji na kujiona Bora kuliko Wengine
Back
Top Bottom