Recent content by jiji

  1. jiji

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Jamani hatimaye mungu kaniona kibali changu kimeingia Leo rasmi kwa mkurugenzi wangu....dar bye bye
  2. jiji

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Wadau hamjanusa majina
  3. jiji

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Peleka ofisi ya katibu mkuu tamisemi
  4. jiji

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Kibali kipya ni cha kule unakotoka sio unakokwenda
  5. jiji

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Chukua peleka vyote vya mwaka Jana kwa mkurugenzi kisha mkurugenzi atakuandikia kipya cha kukumbushia so utakuwa na vibali vitatu...viwili vitafanana ila vitatofautina maelezo ...akikisha unaambatanisha na nalala ya barua yako ya zamani
  6. jiji

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Nilibeba doc zangu zote...yaan barua iliyopitishwaga na vibali kutoka pandezote ..nikaenda kwa afisa tawala mkoa ..wakaniambia niende kwa mkurugenzi wangu ataniandikia kibali kipya cha kukumbushia ..nikweli ndivyo ilivyokuwa..nikambatanisha barua na vibali nyooote 3..nikaleta kwa katibu tawala...
  7. jiji

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Kuna maelekezo yalitolewa humu nikayafata kumbe chakaaaaaa kumbe humu kuna maelekezo fake tuwe makini... Nashukuru maelekezo sahihi niliyatoa kwa katibu tawala mkoa.. Na mambo yakawa safi
  8. jiji

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Na wewe muhanga wa majina ambayo hayakutokea ?...
  9. jiji

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Fatilia utumishi ..komaa nao
  10. jiji

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Acha uongo we ushakuwa mtu mzima
  11. jiji

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Me pia halipo
  12. jiji

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Hebu tuma humu hiyo barua
  13. jiji

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Jamani mbona mm nimepewa maelezo tofauti na hayo
  14. jiji

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Usianze km ulipitisha ndio walivyosema labda upoteze baadhi ya doc ...km unazo toa copy pitisha kwa mkuuwa kituo afisa Elimu mkurugezi wako kisha peleka tamisemi
Back
Top Bottom