Recent content by jigwam

  1. J

    JamiiForums Tanzania Suala la ulaya kujua mipango ya kumuwekea Lissu sumu inaonesha kuna majasusi wao wa siri ndani ya mfumo

    Si ajabu kuwa na double ajent,kwa rushwa iliyotamalaki baadhi ya maeneo.watakuwepo kwa maono yangu.Watakuwa wanajua kinachoendelea au kuna baadhi ya watu hawapendi nchi inavyokwenda labda kwa sasa.
  2. J

    JamiiForums Tanzania G55 tupo wengi ni jina tu wasifikirie tupo 55 ni wagombea wote: Mrema

    Hwana kitu hao ndugu,njaa mbya washageuza Ubunge ni kazi ya kuajiriwa ndio shida.Yaani wawezi fanya shughuli nyingine zaidi ya siasa.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete atakuwa hajapendezwa na ujenzi wa daraja la mto Pangani. Akiwa Rais alikataa lisijengwe kuhofia Chalinze kupooza

    no sio kweli gari nyingi zinazokwnda arusha na moshi bado zitatumia Chalinze to Segera,ila za Tanga moja kwa moja toka dar ndio zitapita ruti hiyo pia huwa wanaangalia na umbali pia
  4. J

    JamiiForums Tanzania Gilead Teri: Sera za Uchumi za Rais Samia Zavutia Uwekezaji wa Trilioni 20 ($7.7b). Amfananisha na Deng Xiaoping Baba wa Uchumi wa China

    kweli kabisa huyu Rais Samia kwenye FDI kafanya balaa kwa muda mfupi.Ecomically tuna uelekeo mzuri.
  5. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Shinyanga watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu kwenye Uchaguzi mkuu wa chama hicho

    Haaa haaa we jamaa asione Yericko Nyerere hili ataumia sana
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kuhusu suala la ajira alaumiwe Hayati Magufuli kurundika graduates mtaani na hapo hapo akajiita eti ni Rais wa wanyonge

    True kabisa tatizo la ajira haliko TZ tuu,we usubiri serikali ikuajira itakula kwako.TZ fursa ziko nyingi tuu ni kujiongeza
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe alianzisha CHADEMA akiwa kijana, Lissu alianzisha nini akiwa kijana?

    Ndio hapo huyu hajui hata historia ya Chadema kilivyoanzishwa daah
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kilichomharibia VUNJABEI ni hiki hapa

    Ulichosema ni kweli kabisa ukitoa Code zote kwanza TRA hao mlangoni then utaanza kulia lia tuu
  9. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maelfu wahudhuria mkutano wa Joseph Mbilinyi (Sugu) Mbeya leo Julai 10, 2024

    Sasa hao ndio maelfu kweli? Hapo si Kabwe watu wakawaida kabisa angalia Daladala na Bajaj zinajipitia hapo hapo stendi daah;););)
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: CHADEMA yatoa ratiba ya wiki ya Maandamano, Tundu Lissu kuongoza Mikoa Mitano

    haaaa haaaa we unautani na CDM Daah
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kinana nyoosha maneno Hayati Magufuli hakupora fedha halali za wananchi wema, bali aliwanyanganya mafisadi pesa za umma walizopora

    haaa haaa we jamaa umemaliza aisee.Ni kweli lakini ukiangalia,watu wanajaribu kufuta legacy ya JPM lakini wanamuongelea kwa mafumbo.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nimwombe Rais Samia awaondoe haraka wanajeshi wetu kule DRC Congo. Mnapigana na nchi ya EAC

    Yes naelewa kinacoendelea ndugu ni kweli Manusco wanahusika pakubwa na ndio maana Serikali ya DRC imewaambia waondoke mwisho ni December 2024 na baadhi ya kambi wameshakabidhi kwa serikali ya DRC kwenye hilo jimbo chini ya Gavana Cirimwani.Pamoja na yote serikali ya Felix Tshekedi inajitahidi...
Back
Top Bottom