Recent content by Jicho-la-Bundi

  1. J

    Tanzania: Wanaharakati wa kulinda wanahabari (CPJ) wakamatwa na kuhojiwa, waachiwa!

    Tatizo wengi wanapenda kudandia basi kwa mbele. Inakera sana uharakati chokoraa uliojaa humu JF na instagrams. Sasa kiko wapi? Watu hawana kibali, wanaingia kiwiziwizi nchini halafu wanaanza kuwa namikutano ya siri na waandishi wa habari. Hivi kajaribu uende nchi za jirani hapo ulete...
  2. J

    DAR: Zitto Kabwe akamatwa na Polisi kituo cha Oysterbay, ahojiwa na kuhamishiwa Kituo Kikuu cha Polisi

    Kuna kusema na kusema. Zitto kwa hili amekosea. Anaposema watu 100 wamekufa je yeye aliona hizo maiti physicall? Je anajua madhara ya tamko kama hilo? Wewe fikiria uko Dar unasikia kule kijijini watu 100 wamechinjwa hiyo ina maana kila ndugu atapata stress na wengine watasafiri kwenda kuona...
  3. J

    Tangazo la Tigo linakiuka maadili na utamaduni wa mtanzania

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na matangazo mengi mengi kwenye intagrams ambayo kwa kweli hajaendani na maadili yetu. Hasa inakera zaidi unapoona wasanii ambao wanafuasi wengi hasa watoto wa shule ambao wanatakiwa kujengwa kimaadili wasanii hao hao ambao ni kioo cha jamii wanatumia umaarufu wao...
  4. J

    Zitto: Kwanini Serikali inaogopa Wachunguzi wa Kimataifa? Ushauri wa Lema swadakta

    Zitto, nasoma hapo alicho andika MkuuZitto napata kichefuchefu. 1/ Naibu Waziri Masauni ni waziri makini. Akisema hakuna haja ya kulete wachunguzi kutoka nje anakuwa ametathmini hali iliyo na kuona uzuri na ubaya wa kuleta hao mashushu ambao hata sisi tulio na ufahamu finyu wa security issues...
  5. J

    Zitto: Kwanini Serikali inaogopa Wachunguzi wa Kimataifa? Ushauri wa Lema swadakta

    Katika watu walioongea kitu cha maana wewe ndie umeongea! Hata mimi nakubaliana na wewe. Ningeishangaa serikali kama ingekubali wageni waje na kutemper na security systems zetu. Hili jambo mimi nasema Hapana Wallahi! Wananchi tulio wengi bado tunaimani na system zetu za usalama. Mara ngapi...
  6. J

    Lema: Serikali iruhusu wapelelezi huru kutoka nje. Waziri Lugola aache mara moja kuzuia watu kuzungumzia suala la Mo kutekwa

    Mara nyingi anaongea vapour. Mimi hapo zama nilikuwa napenda kumsikiliza jinsi alivyokuwa anacheza na maneno vizuri tu lakini tangu siku nilivyomwona kwenye picha kwenye mazishi ya mbwa wake na kupost kwenye media ndipo nilipoanza kumwangalia kwa jicho la kona. alipotangaza anafanya press...
  7. J

    Serikali: Marufuku kupiga kelele Maeneo ya Makazi!

    Mtu asiyejulikana hiyo sheria iliandikwa mda tu na Januari Makamba aliizungumzia kwenye magazeti. Ila cha kushangaza imewekwa kwenye droo. Sasa inabaki interpretation ya kila mwenye kutaka kupiga bendi au mziki kwenye makazi ya watu anainterpret anavyojua yeye. mwanzo mwisho saa tano, halafu...
  8. J

    Serikali: Marufuku kupiga kelele Maeneo ya Makazi!

    Usikurupuke soma nilichoandika. Nimezungumza kuhusu Makonda ameagiza sound proof na ni watu ambao wame misenterprete maelekezo yake. Sikusema kufunga biashara ya watu!! usiweke maeneno kwenye mdomo wangu!! nazungumzia suala la aielele hapa. watuwakinywa pombe zao hata alfajiri mradi...
  9. J

    Serikali: Marufuku kupiga kelele Maeneo ya Makazi!

    Nimeshtuka sana kusikia kuwa muda wa kupiga miziki siku za Wikiendi kuanzia ijumaa hadi jumapili umeongezwa kutoka saa sita hadi saa nane. Nilivyomsikia Mheshimiwa RC wa Dar alisema ameruhusu hayo ili watu waweze kufanya biashara na usalama umeongezeka na vilevile majumba ya starehe yenye sound...
  10. J

    Haji Manara akamatwa, ahojiwa tukio la kutekwa Mo Dewji

    Kwa kweli inasikitisha sana. Wakati polisi wetu hawalali wanafanya kila jinsi kuhakikisha kuwa watu waliomteka MO anakamatwa wako watu wako busy kukatisha tamaa wanaojitahidi kutatua tatizo hili badala ya kuwatia moyo. Hivi wanawadudu gani kichwani? Jana (Jumapili) nimesoma gazeti la The...
  11. J

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Mwenye chuki binafsi, hangoji sababu
  12. J

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Yapi? Acha wanga wa mchana!
  13. J

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Kama una tip yoyote kuhusu hao watekaji nenda polisi. Kwani umesikia Serikali imekataa kupokea tip za wananchi? Toeni funza kwenye akili zenu and stop unnecessary criticism. Una akili za kichawi. Itabidi tuangalie family tree yako.
  14. J

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Whatever. You should get well soon from your comma!
Back
Top Bottom