Mmh hyo ibara ya ngapi inayosema kuwa rais ni sehem ya bunge. Anakuwaje sehem ya bunge wakat hatokani na wabunge? Naomba kueleweshwa kidogo hapa mkuu! Asante
Misaada sio muhimu kwetu ila kwa hili la ubakaji wa demokrasia uliofanyika ZnZ ni uroho wa madaraka. JPM sio kama alkuwa hajui kuwa watapora demokrasia Znz HAPANA, alilijua fika na madhara yake pia aliyajua na hivyo alituandaa kisaikolojia kuwa hapendi msaada hapo tusiangalie msaada tu mwisho wa...
Pesa ipi sasa ionekane mtaani? Wakati hizo za msaada na hizo wanazokwiba hao mabwanyenye ndizo zilizokuw zinazagaa mtaani coz mijizi ilikuwa na uhakika wa kuiba kesho yake tena. Kwa sasa kila pesa inayopatkana ina wekwa kwenye matumizi muhimu na serikali ya JPM. Mtaani hakuna excess...
Nyumba inauzwa ipo maeneo ya ifakara uwanja wa taifa karibu na Birgith english medium school. Iko katka hali nzuri
Ina vyumba 3 vya kulala+ sebure+ dinning+store
20million
Call 068 301 0560 kwa manunuzi
Kwani Mheshimiwa Rais hawezi fanya maamuzi kuhusu tuhuma hizo za February hadi ashinikizwe??? Maana kutuhumiwa tu inatosha kumfanya kiongoz kama yeye kutumia busara kw kujiwajibisha kabla hajawajibishwa. Hayo ya february yalitokea kw mama tiba kipndi cha escrow akawajibushwa. Au february ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.