Recent content by jhonie

  1. J

    JamiiForums Tanzania Elimu ndio kila kitu

    Kwa miaka mingi Sanaa ya Tanzania imekuwa ikikuzwa na kuendelezwa kwa kile kilichoitwa kipaji pekee, hili limefanya sanaa yetu isimame na isisonge mbele kulingana na mabadiriko ya sayansi na teknolojia, mbaya zaidi watu waliowahi ingia katika sanaa hasa hasa zinazohusiana na utaalam mkubwa kama...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kozi fupi za acting,cinematography na screenplay writing

    TUNATARAJIA KUWA NA SHORT COURSES ZA FILMS MKOANI MOROGORO KWA MUDA WA WIKI TATU, KOZI HIZO ZITAKUA NI ACTING,CINEMATOGRAPHY NA SCREEN PLAY WRITING, MAHALI NI KATIKA CHUO CHA MAGADU ENTREPRENEURSHIP AND BUSINESS TRAINING INSTITUTE KIKO NJIA YA KWENDA MZINGA,KINAANGALIANA NA CHUO KIKUU CHA...
Back
Top Bottom