Nafikiri ya jeshi tuwaachie jeshi,aliyejitoa katoa ya moyoni,ila niulize Nassari toka tumekuchagua mbona umetutelekeza? Tumebakia kukusikia tu,jimboni kwako hutembelei vijijini ukafahamu yanayojiri!! au ndo tuvute subira? 2015 ni karibu jitahidi ufanye la kujivunia..
Tuna Tanzania moja..hii misimamo na maneno yasiyosaidia chochote ya nini,tuangalie namna ya kuimarisha uchumi wetu maana Muungano sio unaosababisha tukabaki nchi masikini..tujipange upya kifikra.
Watanzania wenzangu Tuombeni Mungu sana kuhusu mustakabali mzima wa nchi yetu..hili vuguvugu lisije tupeleka tusipo pataka wala kupazoea,kwa kuwa najua kuna wasiotaka kusikia amani wala maendeleo Tanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.