Recent content by JFMatumbulu

  1. J

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr Slaa
  2. J

    Hotuba ya Rais Kikwete - Sept 2013: Akubaliana na wapinzani muswada urejeshwe Bungeni

    kitendo cha raisi wa jamuhuri ya tanzania mheshimiwa kikwete kurudisha muswada wa katiba mpya bungeni ujadiliwe imedhihirisha uzalendo wake kwa watanzania naamini kabisa kikwete hana hata chembe ya UCCM ana Utaifa zaidi.huenda watanzania wakamkumbuka pamoja na madudu mengi ambayo yamefanyika...
  3. J

    Makongo High School...!!!

    mnamkumbuka KISARIKA?Enzi alikuwa balaa kwa kupiga vibao
  4. J

    Mh Tundu Lissu kutohudhuria sherehe za Muungano

    ni:-) hatahudhuria
  5. J

    Makamanda wanaosubiri kuchukua Majimbo ya uchaguzi 2015

    ALLAN MMANYI-Same mashariki
  6. J

    Kimenuka Liwale, mabomu kwa kwenda mbele! Nyumba kadhaa zachomwa moto...

    acha udini wewe!hatujadili udini hapa
  7. J

    Wananchi wa DODOMA wapuuza ujio wa CHADEMA jana

    mpuuzi mkubwa wewe
  8. J

    Kibonde clouds fm kuwa mzalendo pia serikali iwe makini na matangazo kama haya

    Kibonde,Gerald hawa wote vichefu chefu kabisa wanatumiwa..mnaiharibu redio ya watu fanyeni tafiti mpaka sasa mmepoteza sana mzuto kwenye masikio ya jamii.
  9. J

    90% ya wabunge wa CCM kupoteza ubunge 2015

    humu tu JF kuna zaidi ya Registered members ana unregistered members zaidi ya 30,000+ambao karibu 98% ni wanamaudhui au michango inayoashiria ni CDM..Hizi zote ni kura kwa CDM
  10. J

    Kibonde clouds fm kuwa mzalendo pia serikali iwe makini na matangazo kama haya

    mimi nimewachoka kabisaa hawa jamaa(zaidi kiboned na Gerald Hando)Clouds ilikuwa ni redio ya watu lakini baada ya kuanza kutumiwa watu wameshaanza kuwahama.yeye ni nani atoe conclusive statement kama hiyo?tunawafundisha nini watoto wetu wasiojua historia ya nchi hii?
  11. J

    90% ya wabunge wa CCM kupoteza ubunge 2015

    Wana jamvi,haya ni maoni na mtazamo wangu: Nionanyo mimi na kwa utafiti mdogo tu nilioufanya katika majimbo mbalimbali kuna uwezekano mkubwa sana zaidi ya asilimia 90 ya wabunge wa CCM hawatarudi tena bungeni;baadhi ya majimbo machache tu ambayo nimejaribu kufanya utafiti mdogo ni...
  12. J

    Membe Turufu Pekee Ya CCM Uchaguzi Mkuu 2015

    Nadhani mtoa mada unafanya utafiti au umetumwa na membe mwenyewe..amekulipa kiasi gani kwa kazi hii?mnajisumbua kuandika eti huyu ana faa yule hafai..njia nyeupe kwa CDM 2015
  13. J

    Sehemu ya II: Mahojiano ya Ridhiwani Kikwete na gazeti la Jamhuri

    ufafanuzi ,maelezo na Historia yake kwangu mimi sio muhimu kabisaa...muhimu najikomboaje ktk umaskini huu uliosababishwa na chama tawala?
Back
Top Bottom