Recent content by JF UNIT

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mishahara mipya ya walimu 2015/2016

    Am not sure
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa na Prof. Baregu kwenda ACT-Wazalendo?

    Potezeni muda na majungu yenu,safari ya matumaini ndo kwanza imepamba moto!!!!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tahliso waamua kuitolea uvivu serikali

    Mungu awatangulie maana tutakufa njaa, ni aibu kubwa bunge maalumu la CCM kuendelea wakati watoto wa masikini tunakufa njaa.
  4. J

    JamiiForums Tanzania hela ya field!!!

    godfrey who is great thinker?how do u know that you are a great thinker,jibu swal acha michepuko.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Selection ya vyuo 2014 inatoka lini?

    kuweni wapole tunawasubir kwa hamu,kuanzia mwez wa tisa mambo yatakuwa sawa..
  6. J

    JamiiForums Tanzania hela ya field!!!

    n kwel vyuo ambavyo havijapata hela ya field kwamba hela haijafka vyuon?kwann wengne wapate na wengne wasipate?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo SAUT na matawi yake imewakosea nini?

    kaka wote tunalia njaa hata TEKU bado,tusubr may b next week.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio walimu wetu wapya

    hi ndo tz!!tatzo n mfumo wa elimu mbovu sana...
  9. J

    JamiiForums Tanzania TEKU mambo yameiva!!!

    wahi kijana,usign mpunga!hata mm ni BED MATHS nimeshasign.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Teku members only

    sawa kipo mbeya,vp kna sifa gani academically?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Boom Boom!jamani

    TEKU tumesaini leo!!loan officer wetu yuko poa sana.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Teku members only

    jamani wanajamvi napenda tufahamiane tunaosoma TEOFILO KISANJI UNIVERSITY,ebu tupia sifa walau moja ya chuo hiki.
  13. J

    JamiiForums Tanzania TEKU mambo yameiva!!!

    hatimaye loan officer atoa tangazo kwamba mkwanja ulishafika chuoni kilichobaki ni kusaini mkwanja uingie kwenye akaunti
  14. J

    JamiiForums Tanzania direct cost at TEKU

    wadau wa jf,nashukuru sana kwa taarifa ngoja njipange i hope degree ntapata!!ila dharau c nzuri,nmekupenda sana msafiri
  15. J

    JamiiForums Tanzania direct cost at TEKU

    wadau wa jf mbona mnakwepa hoja ya msingi?nmeulza direct cost ya teku sh ngap?suala la chuo kibaya au kizuri haikuhusu!
Back
Top Bottom