Recent content by JF Analyst

  1. JF Analyst

    Je, Serikali inayaendea maridhiano kwa maslahi ya Taifa? Kauli za viongozi kuhusu maridhiano zinabeba dhamira ipi?

    Wimbo wa maridhiano umekuwa ukisikika masikioni mwa Watanzania kabla na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025. Hata hivyo, hadi sasa umebaki kuwa kitendawili kinachohitaji kuteguliwa. Wapo walioimba wimbo huu kabla ya uchaguzi. Wanaharakati, baadhi ya viongozi wa dini na wanasiasa...
  2. JF Analyst

    Pressure Cooker: Jinsi ya kutumia kwa usalama na kuepuka mlipuko

    Hakuna shida kabisa ikiwa utazingatia matumizi sahihi na utunzaji mzuri. Sasa unakuta safety plug imeharibika mtu anajiona ana akili kuliko waliotengeneza anaenda kuziba tundu kwa kuchomelea
  3. JF Analyst

    Pressure Cooker: Jinsi ya kutumia kwa usalama na kuepuka mlipuko

    Ni kweli kumekuwa na maoni haya kutoka kwa watu mbalimbali kuhusu pressure cooker zinazolipuka, cha msingi hapa ni kuwa makini kujua brand nzuri/bora kabla ya kufanya uamuzi wa kununua. -- Kampuni ya SharkNinja imeamua kurejesha zaidi ya pressure cookers milioni 2 zilizouzwa Marekani na Kanada...
  4. JF Analyst

    Pressure Cooker: Jinsi ya kutumia kwa usalama na kuepuka mlipuko

    Pressure cooker ni moja ya kifaa muhimu kwenye mapishi kinachosaidia kupunguza muda wa kupika ikitumia mvuke wenye shinikizo kubwa kupika chakula kwa haraka kuliko sufuria za kawaida. Faida kubwa ya kifaa hiki ni kupunguza matumizi ya nishati inayotumika kama gesi, umeme mkaa, etc, na hufanya...
  5. JF Analyst

    Viongozi wa Tume ya Uchaguzi Kenya wanapatikanaje? Je, Rais ana nguvu kiasi gani?

    Je, Umewahi kujiuliza jinsi viongozi wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) wanavyopatikana? Jaji Mkuu Martha Koome (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na wajumbe wa Jopo la Uteuzi la Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) baada ya kuapishwa Januari 27, 2025 Katika taifa ambapo uchaguzi ni...
  6. JF Analyst

    Fahamu waliowahi kuongoza NIDA: Yupo Mkurugenzi TISS, mmoja alifutiwa Kesi ya Ufisadi na Serikali Awamu ya 6

    NIDA (Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa) ni chombo chenye wajibu wa kutoa huduma za utambuzi ambazo zinatambulika kitaifa na kimataifa. Chombo hiki hutoa vitambulisho kwa Watanzania na wageni wakaazi wa Tanzania na kutunza Daftari la Utambuzi kwa kengo la kuimarisha Usalama na Amani kiuchumi na...
  7. JF Analyst

    GE2025 Sekeseke la Mpina ni Maigizo ama ni muendelezo wa kuibagaza Demokrasia?

    Kwahiyo Mpina achukulie hilo kama somo na njia ya kumkomaza? Je hiyo awamu nyingine unamaanisha atashinda kupitia upinzani ama atarudi nyumbani?
  8. JF Analyst

    GE2025 Sekeseke la Mpina ni Maigizo ama ni muendelezo wa kuibagaza Demokrasia?

    Simulizi ya Luhaga Mpina imebaki kama moja ya hadithi za kisiasa yenye kusisimua zaidi katika historia ya uchaguzi wa Tanzania. Fikiria Kutoka kwenye kura 92.3% za uteuzi ndani ya chama chake, kisha kuwekewa pingamizi mara ya kwanza na kulishinda kwa kesi mahakamani, kisha kuangukia pua kwa mara...
  9. JF Analyst

    GE2025 Wagombea Urais kupewa magari na INEC na ZEC inaleta taswira gani kwa wapiga Kura?

    Katika mchakato wa Kidemokrasia, Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) na Tume huru ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) inachukuliwa kama nguzo kuu ya uaminifu wa wananchi. Lakini hatua ya Tume kuwapatia wagombea wa Urais magari kwa ajili ya kampeni inaleta maswali mazito kuhusu mustakabali wa Demokrasia na...
  10. JF Analyst

    Wasanii na watu maarufu wasiopigania maslahi ya wananchi ni wasaliti kwa raia au wabinafsi?

    Ipo kauli inayosema msanii ni kioo cha jamii, kwa sababu wanapaswa kuakisi na kuifunda jamii yao katika mstari ulionyooka katika nyanja zote. Kupitia sanaa yao wanalo jukumu la kuielimisha jamii, kukosoa na kukemea maovu, kuburudisha na kadhalika, yote ni katika kujenga jamii yenye haki, amani...
Back
Top Bottom