Recent content by Jeune Kims

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alifanya makusudi

    Umeme jr
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alifanya makusudi

    Hiki kilimpata mtu wangu wangu wa karibu, ila nitamfikishia salamu
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alifanya makusudi

    Kisa hiki kilimpata mtu wangu wa karibu, sio mimi
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alifanya makusudi

    “Shhhh! I am safe usijali”. Na mimi niliamini maana sio kwa utamu ule. Asubuhi niliaga vizuri nikapanda gari na kurudi Morogoro chuoni. Nilikaa nikisubiri anitafute, walau anipongeze hata kwa ujuzi niliokua nao, lakini hata sms hakutuma. Nilikaa nikiamini labda alikua amechoka sana, au alikua...
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ujauzito ni hatari kuliko UKIMWI?

    Ni kweli kwasababu ya utandawazi, mambo yanabadilika. Namna za kuishi pia zinabadilika, mapokeo nayo kutoka kizazi hadi kizazi yanabadilika. Je hekima imesafiri? Au amepotea njia? Au maarifa ya utandawazi yamebadilisha maana ya hekima? Je ni kweli kwa kizazi hiki mimba imekua ni ugonjwa hatari...
Back
Top Bottom