Habari wanajukwaa, yangu jumamosi tarehe 3/4/2021 mida ya mchana hadi sasa mtandao wa polisi wa loss report lormis.tpf.go.tz haupatikani.
Labda kwenu mnayo taarifa yoyote nini shida? Maana kuna wengine ni wagonjwa wanakosa HUDUMA ya matibabu kwa sababu wamepoteza kadi za bima na wanahitaji loss...
Kuna ubadhilifu mkubwa sana unatendeka pale kiwanda cha nguo urafiki.
Kuanzia naibu meneja mkuu wa kiwanda na wenzake wamegeuza kama kiwanda chao binafsi, wafanyakazi hatupati haki zetu, wamepangisha wafanyabiashara, kodi kidogo wanapeleka bank lakini pesa nyingine nyingine zaidi hawatoi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.