Mgodi wa Almasi wa kawe (jGwajima) unaomilikiwa na wananchi wa jimbo la kawe wamesema hakika Mgodi huo unawanufaisha sana toka uzinduliwe mwaka 2015, na wanashukuru sana kwa ambulance walizo patiwa kutoka katika mgodi huo.🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥
Mbunge wetu anawasaidia wananchi wote jimboni bila shida yeyote na mpaka Bungeni anasimama na kuongea juu ya jimboni kwetu || wananchi tunampenda sana anatusaidia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.