PARAGRAPHY HII WENGI HAMUKUISOMA SIO Kwa mtazamo wa numerology, Simba inaweza kuwa na nafasi kubwa ya kushinda mechi hiyo. Hata hivyo, mambo mengi yanaweza kuathiri matokeo ya mechi, na numerology ni njia moja tu ya kutazama mwelekeo, wtu wa Kubeti nimeshawapa DESA hilo musiahau fungu la Kum
Kwenye numerology, tunatumia namba zinazohusiana na majina au matukio ili kutabiri matokeo au mwelekeo wa jambo fulani. Hapa, unaweza kuchambua kwa kutumia majina ya timu au tarehe ya mechi. Hebu tuone jinsi tunavyoweza kutumia numerology kwenye mechi hii.
1. Tarehe ya mechi: Jumanne Septemba...
Kama umeshaamua maana yake umefanya tathimini yenye kutosha na kujua kwmaba ni wapi unatakiwa ubadilike. najua utaweza Amini hivyo chukia yale ya zamani, mabaya yote kila siku ukiamka sema sasa mimi ni mtu mpya nimeanza upya. Hongera sana mkuu
Hongera sana Mkuu. zinaa inamaliza sana vijana unakuta mtu wa Miaka 20 anafanya zinaa na karibu kila mtu mtaani kwake. anaona sifa kuelezea anavyojua kuzichagua huko kwenye madanguro
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.