Recent content by Jesus loves me

  1. Jesus loves me

    KERO Wanafunzi wa IFM wanateseka kusubiri refund zao, huku Idara ya Fedha ikikosa uwajibikaji na huduma stahiki!

    Rais ni Bahati faculty ya Business and Economics japo ni changamoto inayowakumba wanafunzi wa faculty zote
  2. Jesus loves me

    KERO Wanafunzi wa IFM wanateseka kusubiri refund zao, huku Idara ya Fedha ikikosa uwajibikaji na huduma stahiki!

    Wanafunzi wakipata uongozi pale wanajiona hawahusiki na shida za wanafunzi wenzao wanakuwa na dharau na majibu ya hovyo bila msaada wowote
  3. Jesus loves me

    KERO Wanafunzi wa IFM wanateseka kusubiri refund zao, huku Idara ya Fedha ikikosa uwajibikaji na huduma stahiki!

    Ninaomba kutumia jukwaa hili kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto inayowakabili baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (Institute of Finance Management – IFM), hususan suala la kucheleweshewa marejesho ya fedha zao (refunds). Inasikitisha kuona wanafunzi wakisubiri fedha zao kwa...
  4. Jesus loves me

    PreGE2025 Steve Nyerere: Kusimama mbele ya Rais na kusema kuwa unamdai sio 'Heshima'

    Huyu Steven ni kati ya ndezi na vibaraka wa serikali hii ovu. Serikali hii inapenda watu weupe kichwani tu.
  5. Jesus loves me

    KERO Responded Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu (HESLB) inatuweka Wanachuo katika wakati mgumu sana kwa kutotuwekea fedha

    Shida ni hao viongozi wa kuhamasisha hawapo siku za hivi Karibuni hakuna kiongozi wa chuo ambaye hayupo UVCCM wote ni watu wenye mawazo mgando. Mfano mwaka 2023 kulikuwa na mgombea uraisi IFM mwenye ushawishi sana ila ilipogundulika kuwa ni mwanachama wa Chadema students organization (CHASO)...
  6. Jesus loves me

    KERO Responded Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu (HESLB) inatuweka Wanachuo katika wakati mgumu sana kwa kutotuwekea fedha

    Katika hali ya kushangaza mfululizo wa hali ya ucheleweshwaji wa malipo ya pesa ya kujikimu na chakula kwa wanafunzi wa vyuo Vikuu imekuwa ni jambo la kawaida sana kufanywa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu HESLB. Tunaomba kila mwenye ushawishi asaidie kupaza sauti juu ya hili. Updates...
Back
Top Bottom