Recent content by jesus is alive

  1. J

    Kwanini tukarabati kivuko kwa Tsh. bil 7.5 wakati kipya ni bil 8.5?

    Kabisa. He was not patriotic leader, wasn't he?
  2. J

    Mwigulu jibu hoja za wabunge, PhD yako isiwe kinga ya kukwepa hoja!

    Amesomea PhD chuo Gani. Tanzania Kuna vyuo vitatu tu ambavyo ukisomea hapo at least tuna Imani nawe: SUA, UDSM na Muhimbili. Vingine mmh
  3. J

    Majukumu ya Waziri wa Kilimo ni yapi?

    Bashe yupo sawa, ngoja nguvu ya soko iamue. Watu wengi wanalima kwenye mitandao ya kijamii Sio kufanya Kwa vitendo. Wanasema Bei ya vyakula ni ndogo hebu watuambie kuwa kilmoja ya mahindi, maharage, mpunga ni sh ngapi. Nimekuwa mtafiti Kwa umri wa miaka 31, niwaambie mkulima hapati faida kubwa...
  4. J

    Je, ikitokea Hayati Magufuli kafufuka nini kitatokea?

    Kwani ana hati milki ya nchi hii?
  5. J

    Makosa ndani ya Makala ya Mama Maria Nyerere Kutimiza Miaka 93

    Imeina story imewaacha waislamu ndiyo maana ukaandika. Mzee huwezi kuwadangaya watu wote, Kwa miaka yote umekuwa unapromote waislamu ndiyo wenye Mchango pekee wa nchi hii! Lakini hakuna mtu aliyedhaminu historia hiyo maana hajabalance. Jipange upya
  6. J

    Watanzania tumsaidie kumtajia viongozi wasiofaa Rais anapokwenda kuisuka upya Serikali

    Is there relation btn professional and being minister. My small search I have concluded that there no significance difference, because a minister is political figure those with professional are working under him. His or her major role is to supervise the team. Ktk utumishi wangu nimeona hata...
  7. J

    CCM na wanaccm, nini kosa la Bashiru? Demokrasia kwenu ni nongwa?

    Dr Bashiru anyamaze kabisa. Alitumika kuumiza watu
  8. J

    Bila Hayati "Magufuli" Hamna Kick,Iwe CCM au Upinzani!

    Kuwalikuwa na Marais waliofanya vizuri kuliko sifa hizi.
Back
Top Bottom