Recent content by jesi

  1. J

    Naombeni ushauri jinsi ya kuanza maisha ya kuwa single

    Umeulizwa mbona una mambo ya kike mwanaume aliekamilika hawezi fanya mambo kama haya jitathimini vizuri itakuwa jinsia uliyokuwa nayo si yako
  2. J

    Naombeni ushauri jinsi ya kuanza maisha ya kuwa single

    Mimi ni mdada na kazi yangu na maisha yangu, nimekuja kuomba ushauri jinsi ya kuweza kuishi single maana mchumba niliyekuwa naye ameniumiza. Nataka nianze kuwa single, niishi vipi mpaka nimsahau kabisa na maisha yaendelee?
Back
Top Bottom