Naombeni ushauri jinsi ya kuanza maisha ya kuwa single

Mimi ni mdada na kazi yangu na maisha yangu, nimekuja kuomba ushauri jinsi ya kuweza kuishi single maana mchumba niliyekuwa naye ameniumiza.

Nataka nianze kuwa single, niishi vipi mpaka nimsahau kabisa na maisha yaendelee?
Niko njipanda unataka ukapange chumba uishi mwenyewe au ulikuwa uko na mtu unataka uwe single kwa muda
 
mkiwaga kweny mahusiano yenu yasiojulkna yanahusiana na nn mnatudharau sana masingle, haya sasa umekuja..karbuu saana sie hatuna zarau wala nn karbuu kwenye chama la wana, kulia lia kijinga ni upumbv, na ukomee kuwaza upuuz wa x wako
FB_IMG_16287610246608067.jpg
 
Back
Top Bottom