Recent content by Jese Pinkman

  1. J

    Kwanini Makonda hajareport TAKUKURU jaribio la kuhongwa pesa na Ruge?

    Kwa vigezo gani ulivyoona Sent using Jamii Forums mobile app
  2. J

    Kwanini Makonda hajareport TAKUKURU jaribio la kuhongwa pesa na Ruge?

    Mtoto mpendwa wa Raisi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. J

    Madiwani wa CHADEMA Ubungo wakamatwa kwa Rushwa na TAKUKURU

    CCM wameshataifisha kila kitu we wa wapi 1.JPM kauza nyumba za umma, kaleta hasara za billion kazaa za samaki na kivuko kibovu na ndege zake hizi ambazo kanunua kwa siri 2. BWM uyu ni kiungo mshambuliaji na captain wa team ya ufisadi wote nchini ambao unaujua wewe 3. Chenge uyu ni kiungo...
  4. J

    NJOMBE: Mwalimu afumaniwa akifanya ngono na Mwanafunzi darasani

    Uwa nina tamaa ya mademu wenye makalio ila nikiona mwanafunzi uwa naisi kama nimeona mwanaume mwenzangu hata awe mzuri wa aje uwa siwezi kuona uzuri wake kwa hili najishukuru mwenyewe
  5. J

    Kibiti: Polisi yaua watu wanne(4) wanaodhaniwa kujihusisha na mauaji wilayani humo

    Hapa kuna watu watauwawa bila sababu kwa kuzaniwa
  6. J

    Ewe mwanamke, fanya haya kuimarisha mahusiano yako

    Dah kama unafanya ivi vigum sana mwanaume kutoka nje safi sana
  7. J

    E-mails kati ya James Rugemalira na Rais Jakaya Kikwete zitamaliza kesi

    Tatizo ni mawaziri wako pamoja na Raisi wako hawa jamaa ni wafanyabiashara tu wao wajua kupata faida kwa njia yoyote kwaiyo viongozi wako walitakiwa wasiwe na njaa au ubinafsi katika mikataba
  8. J

    Nakosa imani na mbunge wangu, Halima Mdee. Tufanyeje kumuondoa kikatiba?

    Yeye sio jukumu lake kukuletea barabara ni jukumu la serikali kwa wananchi wake pia Halima yupo sahihi mimi nafarijika kuona anajitambua na hataki upuuzi wa speaker na kundi lake la CCM kuendesha bunge kama wapo vikao vya vijiweni
  9. J

    Maamuzi ya Bunge kuwafungia wabunge kuhudhuria vikao ni ukiukwaji wa KATIBA

    Unamuona yupo vizuri speaker mi si naisi ana shida
  10. J

    Spika Ndugai na Bunge lake hawana taarifa ya kifo cha Ndesamburo?

    Mtu mwenye akili timamu hawezi kushabikia ujinga wa bunge hili
  11. J

    Polisi wamkamata Gwajima tena. Afanyiwa upekuzi upya na kuachiwa

    Kuna watu Magufuri alipokuwa anatumbua wenye vyeti fake nakusumbua watumishi kila siku kuleta vyeti na uhakiki ambao hauna mwisho walikuwa wanapongeza ila uyu bwana mdogo wa misungwi mwanza vyeti vyake vya kununua kwa mtu wanamtetea ; dah hii ni upuuzi wa hali ya juu sijawai kuona
  12. J

    Lindi: Rais aagiza RC Zambi kumnyang’anya passport mkandarasi wa mradi wa maji wa Ngapa

    Tatizo ni serikali mnataka kazi pesa hamtaki kutoa kwaiyo tunasimamisha kazi mpaka pesa mtoe ilo sio kosa la mkandarasi ni kosa la serikali
Back
Top Bottom