Recent content by jerry13

  1. J

    Suzuki Carry New Model inauzwa 14.5M

    Suzuki Carry New Model 4WD Reg: EAA Year: 2016 Engine: 650cc Mileage: 76,862km Gari bado jipya halina kipengele hata kimoja Gari linabodi tayari kama linavyoonekana kwenye picha Bei: 14.5M Call: 0746191267
  2. J

    Mambo matatu ya kujua kuwa Mchungaji fulani si Mtumishi wa kweli wa Mungu

    Abraham hakuwa nabii. Angalia manabii kama vile nabii Isaua, Yeremia, Daniel, Ezekiel na wengine. Je walikuwa wanaishi maisha ya kifahari na anasa? Angalia mitume wa Yesu; Petro, Yakobo, na mtume wa mataifa Paulo, je walikuwa wanaishi maisha ya kifahari na anasa? Sanasana walikuwa wanagawana...
  3. J

    Mambo matatu ya kujua kuwa Mchungaji fulani si Mtumishi wa kweli wa Mungu

    Kwani Abraham alikuwa nabii au mtume? Pili, Abraham alipata utajiri wake kwa kukusanya sadaka au zaka za watu? Kulingana na mafundisho ya Yesu Kristu, utajiri unaweza ukawa shida kwa mtu kuingia ufalme wa mbinguni. Unakumbuka kuna sehem Yesu akisema, “ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la...
  4. J

    Mambo matatu ya kujua kuwa Mchungaji fulani si Mtumishi wa kweli wa Mungu

    Mi najua wanapotoa sadaka za kujimaliza😂😂. Hapo unatoa hadi nauli unarudi kwa miguu nyumbani😄
  5. J

    Mambo matatu ya kujua kuwa Mchungaji fulani si Mtumishi wa kweli wa Mungu

    Habari zenu wanajamii, siku hizi kuna makanisa mengi sana yanaibuka yenye wachungaji, manabii, mitume, walimu, n.k. Jambo linalopelekea upotoshwaji mwingi kufanyika kwa kutumia jina la Mungu na mwanae wa pekee Yesu Kristu. Haya ni mambo matatu unayoweza kutumia kujua kanisa au mtumishi gani ni...
  6. J

    Mbinu 7 ambazo shetani hutumia kuwaweka watu mbali na Mungu katika dunia ya sasa

    Hii sio habari. Hii ni analysis iliyofanywa kwa kuzingatia mtindo wa maisha wa siku hizi na neno la Mungu(biblia)
  7. J

    Mbinu 7 ambazo shetani hutumia kuwaweka watu mbali na Mungu katika dunia ya sasa

    Ukimjua Mungu, na namna anavyofanya kazi basi utarekebisha hiyo kauli kwamba hana uwezo kamili
  8. J

    Mbinu 7 ambazo shetani hutumia kuwaweka watu mbali na Mungu katika dunia ya sasa

    Kwenye dunia ya sasa, shetani anapambana sana kuwaweka watu mbali na Mungu. Na anatumia mbinu na mitindo ya maisha ya dunia ya sasa kufanikisha hilo: 1. Kuvutia watu kwa maisha ya kidunia na mali: Shetani hutumia tamaa za ulimwengu, kama utajiri, umaarufu, furaha za nje, na starehe za mwili...
  9. J

    Makanisa haya ya kiroho ni mawakala wa mmomonyoko wa maadili

    Umeenda vizuri. Makanisa ya kisasa yametoka kwenye majukumu yake ya msingi ya kuhubiri injili ya wokovu na sio ya mafanikio ya kidunia.
  10. J

    Makanisa mengi yametoka kwenye majukumu yao ya msingi

    Habari wandugu, Makanisa mengi ya kisasa yamekuwa yakiwapotosha waumini wao kwasababu kubwa ya kuacha majukumu yao ya msingi na kufanya majukumu yasiowahusu. Jukumu la msingi la kanisa ni kuwasaidia waumini wao waboreshe mahusiano yao na Mungu kwa kutenda mema na kuacha mabaya. Lakini siku...
  11. J

    RC wa Zamani Eng. Robert Gabriel ageukia ufugaji Kuku adai waliofahamiana kazini wame block namba zake

    Watu inabidi tujifunze, unapokuwa na cheo au uwezo wa kifedha watu wengi watataka kuwa karibu na wewe sio kwamba wanakupenda bali wanakuhitaji. Tunatakiwa tujuwe kutofautisha kati ya kupendwa na kuhitajika. Hii itatusaidia sana pindi tutakapoachwa kuhitajika tusidhani tumeachwa kipendwa.
  12. J

    Tatizo la ulimi kuchubuka linatokana na nini?

    Ndugu unazama sana chumvini ndo chanzo. Acha hiyo tabia mara moja!
  13. J

    Machimbo ya nguo Nairobi

    Habari zenu wanaJf, ninaulizia kwa yeyote mwenye connection za machimbo ya nguo Nairobi aniunganishe nayo. Nimesikia Nairobi kuna sehemu kama Eastleigh, Kamukunji na Dubois ambazo ni kama Kariakoo ya bongo. Nguo zao ni bei ndogo zaidi hata ya Kariakoo. Kwa yeyote mwenye ujuzi au connection...
Back
Top Bottom