Kwa kawaida kupatwa kwa yai la kike hutokea eneo la mirija ya falopio, na yai la kiume huchukua kati ya dk 30 mpaka 45 kufika eneo hilo. Kama mayai yakikutana 'na' yakaungana, huchukua takribani masaa 12 kutengeneza kijusi (zygote). Inakadiriwa kuwa inachukua siku 6 kwa kijusi (blastocyst)...
"Mfumo mmoja wa ukusanyaji kodi" hii sentensi inamaanisha nn kwako!? Kwamba nchi moja inatengeneza mfumo kwa ajili ya nchi mbili!? Mimi nadhani, ma-IT wa nchi hizi mbili watashirikiana kutengeneza mfumo huo kwa ajili ya hizo nchi zitakazoutumia.
Ila naungana nawe kwene wasiwasi wa uhusiano huu...
Kweli ninaiona haja ya kuwepo wabunge wa upinzani bungeni, mnatufumbua macho hasa kwene mambo muhimu yenye utata. Mf. Ndege za ATCL, kiwango cha pesa za bajeti nk. Natumaini waziri mwenye dhamana atayatolea ufafanuzi tukaenda pamoja.
CURIOSITY: hivi bajeti kivuli huwa haielezei mapato au jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.