Recent content by jeremia lubango

  1. jeremia lubango

    Bei gani unaweza kumlipa mtu anayekufanyia kazi ya Kuedit video ya event fulani kwaajili ya kumbukumbu?

    Kwa designing ya poster mara nyingi unaweza kutozwa tsh 10,000 hadi 20,000. Hata mie pia huwatoza hiyo bei Upande wa video itategemea lazima muelewane, na kujua ukubwa wa kazi enyewe.
  2. jeremia lubango

    Namba za Wanaotoa msaada kwa waombaji wa kazi za Sensa hazipokelewi muda wote

    Uwe unajaribu kusubiri kwa dakika kadhaa, Ukiona inachelewa jaribu kubadilisha wilaya au mkoa mwingine , ikikubali unarudia tena mkoa wako then itakubali.
  3. jeremia lubango

    Mpenzi wangu ananieleza mambo ninayowasiliana na mchepuko

    Hahahah, huyo dada atakua ka scan as whtasapp web. simu ako kwa sababu now iphone ina whatsapp beta ambayo uki scan kwa laptop au kwa simu kupitia whatsapp web, hata kama simu ako itakua imezima account yako itakua bado ipo active kwake. Fanya ya fatayo fungua whatsapp > setting >linkied device...
Back
Top Bottom