Wanawake wenye bikra wapo wengi sana zanzibar hata wasomi wa chuo kikuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wenye bikra wapo wengi sana zanzibar hata wasomi wa chuo kikuu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kazikubwa, Aug 16, 2012.

 1. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nikiwa katika miaka ya balehe niliwasikia wazee wakijisifu kuwa katika zama zao walikuwa wanaoa wanawake wabichi kabisa yaani bikra. Waliendelea kusema kuwa siku hizi vijana wetu wanakula makapi. Sikuweza kuchangia hoja kwa sababu sikuwa mmoja wao katika mazungumzo yao ila tu nilisikia kwa kuwa nilikuwa pembeni ya nyumba na wao hawakiniona.

  Habari ile nilimuuliza kaka ambaye niliweza kumkabili kutokana na ukaribu wake kwangu licha ya kuwa alikwisha oa. Alinifahamisha nini maana ya bikra baada ya kuniuliza swali kuwa nimeshaanza mapenzi au laa. Alinieleza kwa lugha ya staha ambayo sikupata jibu zuri la moja kwa moja. Nilipata ufafanuzi zaidi kijiweni kwa washikaji.

  Nilidhamiria nikikua lazima nioe bint bikra na msomi, sikutaka kula makapi ili nami nijinasibu kama wale wazee siku za usoni. Kwa sasa nimemaliza chuo kikuu nina degree, nimeona kabisa ndoto yangu imepotea. Kwa kuwa kaka bado yupo, niliamua kumkata stimu kwa kumkumbusha lile swali la wakati nikiwa balehe. Kaka alicheka sana kisha akajibu kwa mzaha kuwa kama unataka bikra nenda Zanzibar huko ziko nyingi sana wanazitunza hadi waolewe, akaishia hapo bila shaka alihisi kama sikuwa serious.

  Wanajamvi naomba mnijuze, je ni kweli kwa yafuatayo:-
  1. Je ni kweli Zanzibar kuna bikra za kumwaga?
  2. Je wanatumia njia gani hawa kuzitunza bikra hadi umri mkubwa wakati vishawishi na utandawazi ni mkubwa kwa
  sasa?
  3. Vijana wa kiume wa Zanzibar wanajipoza wapi au nao wana mbinu mbadala ya kukidhi haja zao za mwili?

  Nisaidieni ili kama kuna uwezekano niandae nauli na nianze mchakato wa kupata kitambulisho ili niende Zanziba nikaibue bikra ya kuoa
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  1. Ndiyo bikira zipo za asili na za kuchakachuliwa

  2. Njia wanazotumia kuzitunza naomba nisizitaje utakimbia.

  3. Ndiyo wanaume wapo na wanabembea na hao hao mabikira


  nakutakia mchakato mwema.... Kumbuka cha kusikia changanya na za kwako. Gnite
   
 3. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Unazungumzia bikra ipi??? Unaleta uchokozi kwa kuanzia mbali??? Ngoja wenyewe waje. Lol
   
 4. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ngoja yule aamke....utaulizwa maswali hadi utakoma.
   
 5. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  People are made to be Loved
  and Things r made to be Used.
  The confusion is in the World
  because People are being Used
  and Things r being Loved.
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  kwani kuna Bikra ngapi?
   
 7. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Ndio tumsubiri aloandika huu uzi atuambie...maana mi kupitia JF MMU nimeona definition nyingi tu za bikra. Sitaki kum feed maneno ya kusema. Yeye mwenye atuambie alivyo operationalize bikra. Lol.

  Kama ni definition ya kwenye biblia ya binti ambaye hajamjua mwanaume kabisaaa...mi sijuhi...Kama ni definition ya kisasa 'binti ambaye hajamjua mwanaume kwa njia fulani...mi sijuhi.


   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  he he hee we wajua aisee lol
   
 9. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  siku hizi zipo mbili
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,612
  Likes Received: 82,201
  Trophy Points: 280
  ....labda zote mbili NK lol!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kuna moja ambayo wanayo na nyingine hawana
   
 12. BongoLogik

  BongoLogik JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naskia huwa kuna bikra ya mbele na ya nyuma, sasa mleta mada analenga kwenye bikra ipi?
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa Zanzibar wanawake mabikira ni wengi sana. Maana wanaume kwa wanawake wote wanatafuta mume wa kuwaoa
   
 14. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kuna jambo linatafutwa hapa..
   
 15. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Yakhee! watuchezea weye!!, twaja
   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mleta uzi uliza direct tukujibu haya mambo ya kuzunguka mbuyu sio mazuri!! Znz bikra(za mbele) za kukinga tu,wasichana wa kule wanatoa GOti tu huku wakibakiza Bikra ya mbele kwa ajili ya m/me mtarajiwa,next time uliza vitu straight!
   
 17. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kwa wanzazibar wanatunza bikra zao lakini zipo njia wanazotumia kutunza lengo kuu aje aonekane ni msafi na mwaminifu. Njia mojwapo ni kutumia TIGO kipindi chote ambacho hawajaolewa hii niliipata wakati nipo Muhas pale na hii pia ni common sana kwa wahindi na waarabu coz wao wanasisitiza mwanamke kuolewa akiwa bikra, na wanawake nao wakagundua njia mbadala ya kuicha bikra untouched kwa kutumia tigo. Ukimpata demu wa maeneo hayo atakwambia huku mbele hapanaaaaaaaaaaaa we kula huku nyuma.
   
 18. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #18
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo hiyo ndo excuse unayotoa/utakayotoa for not being a virgin when you get married? at least own your faults basi jamani...He deserves it
   
 19. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #19
  Aug 17, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Haya kazi kwako, umehakikishiwa bikira zipo lakini moja. Andaa nauli na kitambulisho, mfungo ndo huo unaishilia.
   
 20. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #20
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hujaeleweka mkuu. Wanaume kwa wanawake wote wanatafuta mume wa kuwaoa! Ha ha haa
   
Loading...