Recent content by Jeorpa

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kijana unayeanza kujitafuta funga macho na ziba masikio kwa muda kuhusu shida za familia uliyotoka

    Kama sio Muumini wa Iman za din inaweza kua ya kipuuzi Mungu akusamehe pia ila kwa mfano kila mtu angefuata maandiko leo kusingekua na watu wanakufa njaa halafu kuna watu wananunua pombe wanamwaga , wanaspend pesa nyingi kwenye vitu vya kipuuzi
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kijana unayeanza kujitafuta funga macho na ziba masikio kwa muda kuhusu shida za familia uliyotoka

    Uchoyo tu Mtoa hoja, haya maisha wala hayana maana sana, kwan mwisho wa maisha ni kifo kwa wote, ukiwa na kipato usiangalie kua lazima uwe tajiri sana wala, angalia tu unaishi vyema na unajiweza kwa shida zako ila suala la kusaidia asee saidia sanaz sio ndugu tu kuna watu wenye shida pia, kuna...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dekoda za Malipo Nafuu

    Arusha Boss
  4. J

    JamiiForums Tanzania Dekoda za Malipo Nafuu

    Dekoda kutoka Malawi
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dekoda za Malipo Nafuu

  6. J

    JamiiForums Tanzania Dekoda za Malipo Nafuu

    Kodi
  7. J

    JamiiForums Tanzania MY DSTV APP

    Boss unayo uniwezeshe
  8. J

    JamiiForums Tanzania MY DSTV APP

    Ww mhusika utaniambia tu nichangie kiasi gani, malengo yangu nipate tu channels za maisha magic na m net family ipate cha kuangalia
  9. J

    JamiiForums Tanzania MY DSTV APP

    Wakuu naomba kupewa huduma kwa mtumiaji wa Dstv nijiunge na My dstv app, nitachangia
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mnaotumia TTCL fiber mlifanyaje kuunganishiwa?

    Kihalali unalipia tu bei ya kifurushi unafungiwa, ila kiuhalisi sasa weee
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mnaotumia TTCL fiber mlifanyaje kuunganishiwa?

    Mimi nimeomba muda mrefu naona kimya, juzi nimeona mafundi wao wanamfungia mjeda mstaafu hapa nikaongea nao wakasema router hazipo, tukaongea zaidi wakataka 250k nikashuka nao hadi 200k basi nikawapa wakafunga
  12. J

    JamiiForums Tanzania KERO TTCL ni sikio la kufa! Haiwezekani kwa zaidi ya miezi sita nimeomba huduma ya fiber nyumbani wananizungusha tu

    Nimetoa 200k ndio nimefungiwa Faiba ya TTCL, kweli nimeamini bila rushwa mambo hayaendi
  13. J

    JamiiForums Tanzania Dekoda za Malipo Nafuu

    Karibu sana katika huduma zetu kwa wateja wenye Dekoda za Azam kutokq Malawi Kama huna tutakuuzia, piga simu, tuma sms au Whatsapp muda wowote 24 hrs 0761751162 Karibu sana
  14. J

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Boss hizi pocket mi-fi za Airtel unaweza zitoa lock ikawa universal..?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kwenye hili

    Uki google mtandaon ndio ina thamani ila ukienda mpakani hela yetu ndio inamathamani
Back
Top Bottom