Recent content by Jeofrey mkola

  1. J

    Hakimu: Haijathibitika kama Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres–Dar alilawiti; “ushahidi hauoneshi mtoto kupiga kelele”

    Hivi huyo Hakimu ana mtoto, au ndo yale mashangazi yasiyokuwa na watoto. je, kama mtoto alitishiwa kuuwawa akipiga kelele, Hivi haya mahakimu huwa mnayatoaga wap.
  2. J

    Wakili Simon Patrick: Waamuzi wa Ligi Kuu Bara wanachezesha mechi kwa maelekezo

    kiukweli jambo hili linatia kinyaa kila siku
  3. J

    KERO Responded LATRA Pwani na Dar mpo wapi? Daladala zinakatisha ruti Mbezi-Mlandizi zinaishia Njuweni MailiMoja!

    si bora hata huko mliko, KATAVI kuna sehemu kilometa 70, nauli elf 10,000 na ni barabara ya lami na si vumbi, LATRA wapo wanakula ten pacent.
  4. J

    PreGE2025 Mbunge wa Hai asema Wananchi wanasema Rais Samia apitishwe bila kupingwa kama walivyofanya CCM Dodoma

    atakuwa kalewa huyo sio bure, kwa kazi gan ambazo wamefanya, barabara mbaya kila kona.
Back
Top Bottom