Recent content by Jeneralis

  1. Jeneralis

    Jambo gani linakufanya uamini uwepo wa Mwenyezi Mungu?

    Mungu hayupo.na kama angekuwepo angejitokeza tumuone ili tusioamini tuweze kumfahamu.kwakuwa mungu hapendi dhambi basi angeziondoa zote na kumuua shetani.tusingekula kwa jasho bali angeshusha mikate na samaki kila binadamu asikiapo njaa.asingesafirishwa kwenye mashua na wazungu bali Waafrika...
  2. Jeneralis

    Arusha, Kilimanjaro, Kagera na Mbeya yote ni mikoa ya baridi lakini kwanini watu wake wanatofautiana?

    Watu wengi weusi wa Mbeya wakienda sehemu za joto wanabadilika kuwa weupe kidogo
  3. Jeneralis

    Mke wangu ni mkorofi hatari

    Heri yako maisha yamekunyokea.lisipo kupata la kwangu litakupata lingine.umekuwa na matusi kama mke ninaye mlalamikia.au mmezaliwa pamoja? Mimi najua humu watu ni werevu na wenye busara kumbe kuna wapuuzi kama wewe!
  4. Jeneralis

    Mke wangu ni mkorofi hatari

    Ina miaka nane mkuu
  5. Jeneralis

    Mke wangu ni mkorofi hatari

    Habari wana JF. Nina mke wangu ni mkorofi kupindukia, ana mdomo, muongo, mchonganishi, ana hasira, mropokaji. Halafu yeye ndo wa kwanza kupiga simu kwa ndugu akiwaambia namnyanyasa sana. Kwakuwa mimi siyo mwepesi wa kutoa taarifa za ugomvi wanaamini asemacho mke wangu ananikosesha amani kiasi...
  6. Jeneralis

    Ipi ni sehemu sahihi ya matumizi ya maneno 'Tanzania' na 'Taifa(National)' katika majina ya Taasisi za umma?

    Wengine huenda mbali kabisa na kuunganisha yote mawlili;Tanzania National Parks
Back
Top Bottom