Je, unatafuta ng'ombe wa maziwa wenye kiwango cha juu cha uzalishaji na uwezo mkubwa wa kuhimili mazingira tofauti? Usitafute mbali!
Tunao ng'ombe bora kabisa wa kisasa (kama Friesian na Ayrshire/Guernsey crosses) walio katika hali nzuri ya afya, wenye viwele vikubwa na uwezo wa kutoa maziwa...
Wauzaji wa ng'ombe bora wa maziwa Ng'ombe wetu wana maziwa mengi kwa siku wanakamuliwa lit30 ...pia tuna ndama wadogo kuanzia miezi Mitano tupo makambako 0763 357 978
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.