Recent content by jemima saidi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Heslb yawaka moto

    Ifie huko kabisa hakuna msaada kazi kujuana tu, wenye shida tunahangaika.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

    Huu uzushi mtupu tuulizeni tunaosoma mzumbe tuwaambie mziki wake, hvyo vi2 viko kila sehemu na inategemea na wew mwenyew
  3. J

    JamiiForums Tanzania Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

    hahahaa sasa chuo ndo kina shida au wewe mwenyewe, ulilazimishwa kutoa hela? huo ujinga wako mwenyewe mzumbe is best U.
  4. J

    JamiiForums Tanzania HESLB vs udoso (udom)

    Serikali sikivu wali2ambia appeal tumeappeal bado hatujapata, hivi wana2mia vigezo gani kumjua mwenye hitaji na mkopo?
  5. J

    JamiiForums Tanzania HESLB vs udoso (udom)

    Poleni sana ndo serikali yetu, ila bora ninyi wengine mkopo 2menyimwa tumeonja chuo ila tunakiacha kisa ada.
Back
Top Bottom